Maamuzi ya watu wachache yanakuja kugharimu watu wengi na wote

Halafu siyo kila Mtanzania Mzalendo anayezipinga sera za Kikoo na Kisultan za ccm, basi ni Chadema.
Kama sio chadema nani? Kama mnapinga sheria au mikataba kandamizi kwanini msitumie njia sahihi ambayo ni mzuri haito zua taharuki Kama mfanyavyo?
 
Naamini Magufuri na Mkapa wangekuwepo, wangeungana na Chadema kuupinga huu mkataba
Kawafufue umeacha kuwalilia mababu zako huko kwenu walio kufanya wewe uzaliwe uko unalialia kwa watu ambao huwajui

Kwenu uko sia ajabu ata kaburi la baba yak au mama yako ujalijengea wala kusafisha
 
Ukimaliza kubishana hapa unaenda kuchukua kibunda chako Lumumba
 
Umepaniki sana. Naona unahisi kama hao Chadema wanataka kukunyang'anya pande la nyama mdomoni.
Sipaniki kijinga ila mnachukiza sana watu wachache ambao mmeshikwa akili na chadema tena tundu lissu kumuona ana akili kuliko mtz yoyote
 
Waache waandamane tu wafanyakazi wanaishi maisha magumu kweli Hasa Hawa wa chini huenda ilawashtua walioko juu kuwa Hali ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…