Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Poa "chekundu cheusi" habari mpya?dot com.....mambo
Kiswahili kigumu, nina wasiwasi sijaelewa au nilivyoelewa mimi inaweza kuwa siyo sawa so natafuta uelewa wa wataalamu wa kiswahili.Mshangaz wa jf una mambo ww apo ujaelewa nini tena au ndy unataka mada tu
Sawa ngoja waje tueleweshane zaidiKiswahili kigumu, nina wasiwasi sijaelewa au nilivyoelewa mimi inaweza kuwa siyo sawa so natafuta na uelewa wa wataalamu wa kiswahili.
Kwenye wimbo wa kachiri niko serious.
Iβm trying to understand but β¦β¦β¦.eminem verse on fuel song, was hot as fvck π₯ π₯ π₯.
I'm like an R-A-P-E-R (Yeah)
Got so many eses (S-As), eses (Huh)
Wait, he didn't just spell the word "rapper" and leave out a P, did he? (Yep)
R.I.P., rest in peace, Biggie
And Pac, both of y'all should be living (Yep)
But I ain't tryna beef with him (Nope)
'Cause he might put a hit on me like, "Keefe D, get 'em"
And that's the only way you're gonna be killing me (Nah).
NielezeeUmesahau hii tuliita nahau
Njoo MP...πNielezee
Hizi ndio hoja za kujenga chama na taifa kwa ujumla sasa...π
Haya twende sirini ukanielezee vizuri kuhusu nahau ππππNjoo MP...π
Kabisa mkuu siasa zisitunyime raha za kitandani amabayo ni haki ya kila mtanzania.Hizi ndio hoja za kujenga chama na taifa kwa ujumla sasa...π
Sio kilasiku chauma na sa100...π€£
Ngoja niandae na zumari...πHaya twende sirini ukanielezee vizuri kuhusu nahau ππππ
Kuna siku nilikula chabo kwenye show ya viwete....π aisee... kumbe duniani hata bubu akipata raha anaweza ongea...π€£Kabisa mkuu siasa zisitunyime raha za kitandani amabayo ni haki ya kila mtanzania.
Utelezi kwa maendeleo ya taifa au siyo πHizi ndio hoja za kujenga chama na taifa kwa ujumla sasa...π
Sio kilasiku chauma na sa100...π€£
Eti ulifanya nini π€£π€£π€£π€£π€£Kuna siku nilikula chabo kwenye show ya viwete....π aisee... kumbe duniani hata bubu akipata raha anaweza ongea...π€£