secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ndo maana tunavaa boksa zaidi ya Moja kwa mara Moja😅Daaah hivi kuna mahali wewe na wanaume wenzako huwa hamsimamishi hayo marungu yenu?
Ndo maana tunavaa boksa zaidi ya Moja kwa mara Moja😅Daaah hivi kuna mahali wewe na wanaume wenzako huwa hamsimamishi hayo marungu yenu?
Uvivu tu wa kufua ila pia punguza nyeg£Ndo maana tunavaa boksa zaidi ya Moja kwa mara Moja😅
Njoo pm nikwambie kituKila siku huchoki tu kuiomba?
Ngoja nirudi kutoka safarini ili Kila siku niwe nakulisha mlenda mweupe.Uvivu tu wa kufua ila pia punguza nyeg£
“Mtu mzima hatishiwi nyau” 😹😹😻Ngoja nirudi kutoka safarini ili Kila siku niwe nakulisha mlenda mweupe.
Anaweza asimwogope nyau lakini akichanwa chanwa na nyau anaweza akajutia kumdharau nyau😼😹“Mtu mzima hatishiwi nyau” 😹😹😻
Unatuuliza sisi kuhusu michezo yako, we ndo expert uwanja wako wa nyumbani afu unatusnitch...Si ndiyo maana nimeuliza, au na wewe pia uzi hujauelewa???
Unamuuluza kipofu kiswahili nilikula mswaki😂Uniambie wewe Fabi 😅
Basi, acha tuwasubiri wataalamu watujuzeUnamuuluza kipofu kiswahili nilikula mswaki😂
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili.
Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band
Mashairi ya wimbo ya Diamond :
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha chafua mapaja
Kuna mama kuna, kuna nazi kuna
kuna kinyume nyume, kuna kimbele mbele
Kuna kati kwa kati
Jamani mi naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa eeh eeh eh, naumwa
View: https://youtu.be/tYpsE-r7NqQ?si=K_q8w2Z8_6k0a8bO
Mashairi ya wimbo ya Kilimanjaro Band :
Vumilia leo jirani usije ntonesha kidonda
Aah Daktari huyo yuaja, aje akitie dawa kidonda
Mama kanambia atanipa mwali
Akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira
Makandawira inawene
View: https://youtu.be/lXFF8AnoX8s?si=265wv88VurXv_2W3
Kindege secretarybird njoo, jirani ukuje Nusratt
Cc:
Poor Brain , Binti Sayunii
Hakuna kabisa, kama wapo wapigwe banJe humu hakuna watoto