Maana halisi ya baadhi ya tungo na mashairi zimefichwa watoto wasielewe

Maana halisi ya baadhi ya tungo na mashairi zimefichwa watoto wasielewe

Mbinguni lazima tuingie maana Ngono ni shughuli iliyoruhusiwa, cha msingi washiriki waifurahie na asiwepo hata mmoja atakayekuwa na kinyongo baada ya minyanduano.
Wanaume wengi sana wanacheat, wanakula ndugu zao na wanapenda mixx by Yas, hizo zote dhambi so hata kama hakuna kinyongo ila mbinguni hamuingii
 
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili.
Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band

Mashairi ya wimbo ya Diamond :
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha chafua mapaja

Kuna mama kuna, kuna nazi kuna
kuna kinyume nyume, kuna kimbele mbele
Kuna kati kwa kati

Jamani mi naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa eeh eeh eh, naumwa


View: https://youtu.be/tYpsE-r7NqQ?si=K_q8w2Z8_6k0a8bO

Mashairi ya wimbo ya Kilimanjaro Band :
Vumilia leo jirani usije ntonesha kidonda
Aah Daktari huyo yuaja, aje akitie dawa kidonda

Mama kanambia atanipa mwari
Akinipa mwari nitampeleka kwa makandawira
Makandawira inawene


View: https://youtu.be/lXFF8AnoX8s?si=265wv88VurXv_2W3

Kindege secretarybird njoo, jirani ukuje Nusratt

Cc:
Poor Brain , Binti Sayunii

Lambwaaaa maana yake nini tanzie apo 😂
 
Back
Top Bottom