Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #181
Naona ulichimba mkwara, wakakuheshimu 😂😂😂😂Replies ziko 177.
Sasa kesho nikute zimepungua kama sijala sahani moja na JF Modinyos.
Nyinyi ni mashahidi.
Naona ulichimba mkwara, wakakuheshimu 😂😂😂😂Replies ziko 177.
Sasa kesho nikute zimepungua kama sijala sahani moja na JF Modinyos.
Nyinyi ni mashahidi.
unajizima data ehNimefanya nini tena?
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili.
Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band
Mashairi ya wimbo ya Diamond :
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha chafua mapaja
Kuna mama kuna, kuna nazi kuna
kuna kinyume nyume, kuna kimbele mbele
Kuna kati kwa kati
Jamani mi naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa eeh eeh eh, naumwa
View: https://youtu.be/tYpsE-r7NqQ?si=K_q8w2Z8_6k0a8bO
Mashairi ya wimbo ya Kilimanjaro Band :
Vumilia leo jirani usije ntonesha kidonda
Aah Daktari huyo yuaja, aje akitie dawa kidonda
Mama kanambia atanipa mwali
Akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira
Makandawira inawene
View: https://youtu.be/lXFF8AnoX8s?si=265wv88VurXv_2W3
Kindege secretarybird njoo, jirani ukuje Nusratt
Cc:
Poor Brain , Binti Sayunii
Huu wimbo kuna mzee aliusifia sana kwenye daladala, akasema hawa ndio wasanii sasa, wanasifia matunda, sio wale wengine kutwa kuimba imba mapenzi.
View: https://youtu.be/lAXIQChY8ek?si=xUONaIumA-QUOcpE
Data iko ON, funguka black!unajizima data eh
Wangekaidi wangekumbana na mazito😎.Naona ulichimba mkwara, wakakuheshimu 😂😂😂😂
Kumbe hadi jeshini huwa mnaimba kuhusu miili ya mishangazi 😂 😂 😂Hata jkt tulikua tunaimba
Sifa ya kimini mguu mnene, kimini mguu mnene
Raha ya dera uwe na chura, raha ya dera uwe na chura
Why not?Kumbe hadi jeshini huwa mnaimba kuhusu miili ya mishangazi 😂 😂 😂
Naona wamezingatiaWangekaidi wangekumbana na mazito😎.
Matani yana mipaka bana!
Sikujua tu, safi sana, kama nawaona zilivyokua zinawapa amsha amasha mkifikiria hiyo chura ndani ya dera 😂 😂Why not?
Vipi una mguu mnene?Kumbe hadi jeshini huwa mnaimba kuhusu miili ya mishangazi 😂 😂 😂
Lucha maswali haya vipi, unataka kuiomba tena 😂 ?Vipi una mguu mnene?
Ntumie picha yako kwanzia kifuani kushuka chini nikwambie kituLucha maswali haya vipi, unataka kuiomba tena 😂 ?
Niko kama huyoNtumie picha yako kwanzia kifuani kushuka chini nikwambie kitu
Naomba nionje
Hilo si la kuuliza. Japokuwa mazoezi huwa ni makali lakini pale wimbo huo unapopigwa basi wanaume wote wasio na upungufu wa nguvu za kiume hawakuacha kudindisha.Naona wamezingatia
Sikujua tu, safi sana, kama nawaona zilivyokua zinawapa amsha amasha mkifikiria hiyo chura ndani ya dera 😂 😂
Daaah hivi kuna mahali wewe na wanaume wenzako huwa hamsimamishi hayo marungu yenu?Hilo si la kuuliza. Japokuwa mazoezi huwa ni makali lakini pale wimbo huo unapopigwa basi wanaume wote wasio na upungufu wa nguvu za kiume hawakuacha kudindisha.
Kila siku huchoki tu kuiomba?Naomba nionje
Si ndiyo maana nimeuliza, au na wewe pia uzi hujauelewa???We ndo huna uelewa...