Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.Labda mama ameongeza purchasing power
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
Upo sahihi kabisa, wakitaka kuziona zilivyo waende SA nadhani Botswana na Zambialuxury zipo sema wewe ndo hujapanda mkuu
Wacha tupambane, hizo bus wanaziita luxury coach [emoji23]aah sure mzee kuna route nyingine zimekaa kushoto sana kama hiyo ulosema ,sema mara mojamoja sio mbaya
Umeliona Tahmeeed ?Yote ni semi luxury na ordinary hakuna luxury Tanzania
Nimepanda several times Dar - Tanga - Dar, ila nawe sijui unalilinganisha na bus gani?Umeliona Tahmeeed ?
Hapo Zambia wana vifaa hatari, classicUpo sahihi kabisa, wakitaka kuziona zilivyo waende SA nadhani Botswana na Zambia
Tahmeed ni wazuri piaUmeliona Tahmeeed ?
Ni marefu kuliko haya ya kwetu hapa, kama unakumbuka kuna mwaka mengine yalizuiwa pale mizani ya Kibaha kwa kisingizio kuwa urefu wake hauruhusiwi kwenye barabara zetu, akaenda kuyatoa Mwakyembe akiwa Waziri wa uchukuzi kama sijakoseaHapo Zambia wana vifaa hatari, classic
Nilisha panda bas na bataJana nimepanda basi moja na kuku.
wewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.Upo sahihi kabisa, wakitaka kuziona zilivyo waende SA nadhani Botswana na Zambia
Sikia tahmeed ana luxury dar nairobi na dar arusha tu huko kwingine ameweka izi za kawaida.....Mkuu mimi nilipanda hilo bus toka Dar kwenda Tanga, lakini bado sikupata the real comfort ya luxury bus kama za wenzetu ughaibuni, hiyo unayosema inaonjeshaonjesha tu kiongozi
Latra wanasafari ndefu kuna basi zinatoka Dom hazistahili hata kuingia mbezi stend hadi mbuzi wanabebaHapo Zambia wana vifaa hatari, classic
π π πLatra wanasafari ndefu kuna basi zinatoka Dom hazistahili hata kuingia mbezi stend hadi mbuzi wanabeba
Usiombe ukapanda mabasi yanayotokea Mwanza hao jamaa wanakula kila kinachopita machoni kwao humo ndani basi km dampoMaandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
Alafu kampuni inaangalia faida pia, sio ilete kitu luxurious alafu wateja wawe robo ya gari sababu ya bei ghali. Na hakuna vile utashusha bei, utarudisha vipi hela ulioinunulia hilo bus? πwewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.
Hakuna basi yenye huduma hizo bana, Tahmeed wako vizuri lakini free Wi-Fi hakuna,pia kwa siti ni video screen sio tablet.wewe ukiskia Luxury unaelewa nini kwani?,hapahapa Tanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury, sasa wewe wataka nini tena apo.sema zipo chache mno hata kampuni zenyewe zenye luxury buses unakuta wanazo mbili au tatu tu.
Usiintafute ubaya bana nimetoka kuchezea ban Juzi tu.ngoja nipate pumzi πππHaji Manara kumbe hii ndo ID yako π, alafu kumbe we ni mlevi bana aisee ππ