babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Osaka wakwe zangu hawa washauwawa siku nyingi kiuchumiHili halizingatiwi. Juzi kati baada ya kukosa magari yote sijui yalikuwa yamekodishwa kwenda wapi nimepigwa vibaya kuambiwa ni luxury nauli 33,000 Arusha Dar.
Kuingia ndani nusu nizimie basi chafu ni kama halijawahi kufanyiwa usafi, halina service yoyote..unaambiwa linaondoka saa 12 lkn linaondoka masaa matano baadae.
Nauli kila mtu kalipa tofauti..
Tupo tuliopigwa 33, wengine 25, 22 hadi.17.
Kundoka Arusha saa 2 asb kufika dar saa 5 usiku.
Osaka Express pambav zenu.
Kwa muonekano wa picha za gari tahmeed anaongoza, ila kwakuwa sijalipanda kwenye swala zima la huduma bado nasimama na Kilimanjaro express kuanzia booking, huduma ndani ya gari, hotelini mpaka mwisho wa safari huduma zimepangiliwa vyema kabisaWild Boy kwa hiyo mzee Kilimanjaro vs Tahmeed ngap ngap kulingana na wadau na picha huku?
Binafsi nimeikubali sana Tahmeed asee hawa jamaa wako vizuri
Ngoja waje wale wakazi wa KongwaVipi mbona nasikia Kimbinyiko iko powa sana,kuna aliepanda?
Hivi kwanini waliziita 'chai maharage'?Zenji Raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umekata mzizi wa fitnaAlafu kampuni inaangalia faida pia, sio ilete kitu luxurious alafu wateja wawe robo ya gari sababu ya bei ghali. Na hakuna vile utashusha bei, utarudisha vipi hela ulioinunulia hilo bus? 😂
Kweli mkuu, watu wana hela ndefu lakini sio za kumwaga ovyo pasipo na faida. Ingekuwa nchi zilizoendelea, hapo sawa kuwekeza mitambo kama hiyo ya barabarani, lakini nchi nyingi za Africa, kuanzia wateja hadi barabara zenyewe balaa tupu, alafu dingi akanunue mtambo super luxurious, yaani ndani kama uko kwenye ndege vile, urongo. Hata ka hela ipo lakini akili pia hutumika kiasi kwa kuekeza sehemu flani!Hapo umekata mzizi wa fitna
Mazingira ya biashara hapa TZ ndio yanapelekea uwepo wa aina za magari hapa nchini na sio kwamba matajiri hawana uwezo wa kununua hayo magari luxury ya nchi za nje. Biashara yataka akili ukikurupuka na masifasifa utaangukia pua, wengi wameshaumia kwenye hii biashara
Kabisa mkuu, 'huwezi kuwa tajiri kama hauna akili'Kweli mkuu, watu wana hela ndefu lakini sio za kumwaga ovyo pasipo na faida. Ingekuwa nchi zilizoendelea, hapo sawa kuwekeza mitambo kama hiyo ya barabarani, lakini nchi nyingi za Africa, kuanzia wateja hadi barabara zenyewe balaa tupu, alafu dingi akanunue mtambo super luxurious, yaani ndani kama uko kwenye ndege vile, urongo. Hata ka hela ipo lakini akili pia hutumika kiasi kwa kuekeza sehemu flani!
Kupewa daraja ni jambo jingine na uhalisia wa luxury bus inatakiwa kuwaje ni jambo jingine, Tanzania hata daladala zinaweza kupewa hilo daraja ni pesa yako tu ukiwapa mamlaka husika unapata, na ndicho kimefanyika kwa mabasi mengi yamebandikwa madaraja kwa viwango yasivyostahiliTanzania kuna basi zina choo ndani zina free wifi ,2 in 1 seats + VIP seats ,ina tablet kila seat , ndani mnapewa vinywaj na baadhi ya vitu vya kutafuna na zimepewa daraja la luxury
Kwa hotelini mm nakataa... chips kavu 7k kweli!!🤔😬🙄Kwa muonekano wa picha za gari tahmeed anaongoza, ila kwakuwa sijalipanda kwenye swala zima la huduma bado nasimama na Kilimanjaro express kuanzia booking, huduma ndani ya gari, hotelini mpaka mwisho wa safari huduma zimepangiliwa vyema kabisa
Sijui kwanini hawafanyi usafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipindi fulani yalikua yanaenda mwanza, tobaaaaah hadi kunguni na chawa wamejaa kwenye seat ngooooh. Khaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hio 7k ukicheki vizuri ni pamoja na miundo mbinu ilyopo pale, na hoteli zote zenye mandhari kama ile huwezi kuta chakula cha bei ya chini.Kwa hotelini mm nakataa... chips kavu 7k kweli!!🤔😬🙄
Tahmeed 3 Kilimanjaro express 1
Wewe uliona udhia lakini kwa mwingine hiyo ndiyo tafsiri ya luxurybasi limefika kmmk kama vile nikasukumwa tu ndani.
Nimekaa kwenye kiroba cha mchele toka Mbeya mpaka Dar.
Hahahahaaaa jiwe la gizani kwa wanaojidai wamepanda luxury Tanzania, sijui walishapanda luxury bus ughaibuni!!!Hakuna luxury bus inayobeba abiria zaidi ya 30. Hizo ni busses za nauli ya juu tu kwa vile zina choo na WiFi. Luxury ni pale unapokuwa na maximum comfort wakati wa safari. Mabasi yetu hata hiyo Wi-Fi wameandika tu haipo. Kwenye TV huwezi kuchagua unachotaka kuangalia.... Utaoneshwa mkojani au muvi zilizotafsiriwa njia nzima. Utapewa biscuit na soda moja au maji tena hata soda yenyewe hauchagui unapewa yeyote tu.
Njiani mtaongia hotel moja na kina CHAKITO au Ms. SERENGETI. Wahudumu wa ndani wataongea na nyie kwa kebehi kama wamewapa lift tu.
Tofauti yenu na aliyepanda KING MUSUKUMA ni kuwa nyie hamtachimba dawa njiani.
Utapeli tu mkuu. We toka lini luxury bus ikawa na siti 60 tena Yutong.?Hahahahaaaa jiwe la gizani kwa wanaojidai wamepanda luxury Tanzania, sijui walishapanda luxury bus ughaibuni!!
Siku moja zamani Nimekatishwa tkt Abood ya Tunduma pale Mbeya E bana wale wasengerema, basi limefika kmmk kama vile nikasukumwa tu ndani.
Nimekaa kwenye kiroba cha mchele toka Mbeya mpaka Dar.
Sina hamu,alafu Wale wasenge kufika moro wakapaki bus pale gereji yao wanadai inapigwa service 🤸♂️😥masaa ma2 ndio tukaondoka kwenda Dar.
Sipandi tena mabus ya bongo
😬😬😬☝️Wahudumu wa ndani wataongea na nyie kwa kebehi kama wamewapa lift tu.
Au umepanda Luxury bus unaenda kula Mombo au Liverpool hotel...hotel hata mpiga debe hawezi kula hapoNjiani mtaongia hotel moja na kina CHAKITO
Biashara ya mabasi kufilisika ni sekunde tu......mwanae anaitwa hashim sijui nimesahau jinaOsaka wakwe zangu hawa washauwawa siku nyingi kiuchumi
Mtoto wa mzee kaomba poo juzi hapo..
Alichonifanya miaka 18 iliyopita mungu shahidi
Nimemsamehe anyway.