Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Kibosho1 angalia ndege inayotembea ardhini The one and Only in Tanzania.

Hakuna luxury yeyote ya kukuta Tahmeed hii nchi,hiyo picha yenye tv kila seat

nilipanda siku 1 aisee nilikua natoka Dar to Nairobi ila nilihisi nimetoka Dar to Kibaha...
Hahahaaa kwamba safari ilikua fupi mno, nimekuelewa mkuu kwakweli ulikula raha
 
Ndio wenyewe hao mdau
Panda ile scania imeandikwa dar nairobi utazikuta izo siti
Panda tena ile zongtong climber imeandikwa dar nairobi ila alikuja kuifupishia ruti akawa anaishia arusha utazikuta izo siti....

Iyo ndio ndege pekee ya ardhini anaemfuatia kidogo sana ni shabiby nae alitoa moja 2 by 1 kila siti ina tv ila huko tahmeed zipo za kutosha
 
Shida nyingine ambayo nahisi inapunguza uwekezaji kwenye luxury bus ni masharti magumu ya viwango vya nauli toka Sumatra/latra,ilitakiwa basi laxury wasiweke we limit ya Kiwango cha nauli wanachoweza kumchaji abiria . Pia limit ya urefu wa mabasi nayo ni kero,,basi zetu ni fupi sana kiasi kwamba kwa nauli za serikali zilizopangwa inakua msiba kwa mwekezaji kwa kutoweza kupata siti za kutosha.
 
BUS VIP za tahmeed booking unafanya 1 or 2 weeks before safari,yani ukienda kukata ticket leo J5

wambie unasafiri next week J5 au week ile mbele after next week,ndio utalipata hilo bus tofauti na

hapo ni bus ambalo utakaa Tanzania miaka yote na usifanikiwe lipata au kulipanda (hii siri nimeijua juzi tu hapa)

nimeshalisaka sana ila silipati naishia kwenye semi luxury zao Luxury kila nikiliwinda silipati,ndio nikauliza wahusika

nikaambiwa Bus zao VIP kuzipata ni una book hata 2 weeks before,ikifika december ndio bus limejaa Hulipati labda

ukate ticket ya January au Feb,ni bus lenye wateja wanaojitambua na wanaohitaji safari tulivu,Tahmeed heshima wapewe.
 
Ndio wenyewe hao mdau
Panda ile scania imeandikwa dar nairobi utazikuta izo siti
Panda tena ile zongtong climber imeandikwa dar nairobi ila alikuja kuifupishia ruti akawa anaishia arusha utazikuta izo siti....

Iyo ndio ndege pekee ya ardhini anaemfuatia kidogo sana ni shabiby nae alitoa moja 2 by 1 kila siti ina tv ila huko tahmeed zipo za kutosha
Sawasawa mkuu hakika nimewakubali, nikipata trip ya north ntaenda lumumba fasta
Ya shabibi naikumbuka iliitwa sharobaro sijui Kama bado ipo asee
 
BUS VIP za tahmeed booking unafanya 1 or 2 weeks before bus,yani ukienda kukata ticket leo J5

wambie unasafiri next week J5 au week ile mbele after next week,ndio utalipata hilo bus tofauti na

hapo ni bus ambalo utakaa Tanzania miaka yote na usifanikiwe lipata au kulipanda (hii siri nimeijua juzi tu hapa)

nimeshalisaka sana ila silipati naishia kwenye semi luxury zao Luxury kila nikiliwinda silipati,ndio nikauliza wahusika

nikaambiwa Bus zao VIP kuzipata ni una book hata 2 weeks before,ikifika december ndio bus limejaa Hulipati labda

ukate ticket ya January au Feb,ni bus lenye wateja wanaojitambua na wanaohitaji safari tulivu,Tahmeed heshima wapewe.
Aisee ibarikiwe JF
 
ordinary na super ordinary
emoji3.png
emoji3.png
.
🤣 😆
 
Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=
Classic sana iyo na choo na sehemu ya kutengenezea chai nyuma kule
 
Shida nyingine ambayo nahisi inapunguza uwekezaji kwenye luxury bus ni masharti magumu ya viwango vya nauli toka Sumatra/latra,ilitakiwa basi laxury wasiweke we limit ya Kiwango cha nauli wanachoweza kumchaji abiria . Pia limit ya urefu wa mabasi nayo ni kero,,basi zetu ni fupi sana kiasi kwamba kwa nauli za serikali zilizopangwa inakua msiba kwa mwekezaji kwa kutoweza kupata siti za kutosha.
Mkuu regulation lazima iwepo, ukiwaruhusu wapange bei wenyewe itakula kwetu. Akili za wafanyabiashara zipo juu sana
 
Sawasawa mkuu hakika nimewakubali, nikipata trip ya north ntaenda lumumba fasta
Ya shabibi naikumbuka iliitwa sharobaro sijui Kama bado ipo asee
Iyo shabiby itakuwepo tu cause haina hata miaka miwili huko road ila tahmeed ni vip class isiyoimbwa midomoni mwa abiria wengi nchini na kuna wengine hata hawazijui......
 
Ina zaidi ya two years mkuu mimi nliiona 2016
 
Luxury bus ni basi lenye huduma za anasa yaani luxury. Upya wa basi sio suala la lazima. Not necessary!

Huduma za anasa ni kama vile; Wi-Fi, kiyoyozi (AC), chakula na vinywaji, runinga, kitanda cha kulala, maliwato n.k.
Maliwato ni anasa?
 
View attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo [emoji3516] au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?

Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.

SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?

Wajuvi tusaidiane hapo[emoji3516]
Hakuna luxury buses Tanzania, zipo semi luxury ambazo hupakia idadi ndogo ya abiria kwenye 2 by 2 seats
 
Back
Top Bottom