Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
Mzinifu ni mwanaume au mwanake ambaye ana mke au mume lakini anatafunwa au kutafuna nje.Habari Wana jf, Ni maana ipi sahihi ya Malaya na mzinifu? Ningependa kujua Mana zinanichanganya Sana.
hapana, bali mzinifu ni mtu ambaye haijalishi ni mwanaume au mwanamke ila anafanya mapenzi kwakuto halalika kwa kufunga ndoa baina ya mwanamke na mwanaume, na ukija katika umalaya ni uzinifu ulio vuka mipaka, yaani anaweza kua kwenye ndoa au asiwe kwenye ndoa ila yeyote alioko huko nje anapita nao au kupitiwa nao. Sijiu umenielewa kidogo hapo? Au nimekosea!Binafsi nieleavyo mimi, mzinifu ni mwanaume asiyemwaga mbegu zake katika uke, na hii isihusishe na ubakaji. na malaya ni mwanamke anayejihusisha kimapenzi na wanaume zaidi ya mmoja aliyemtoa bikra, bila sababu za kifo.

Uliyoweka wewe ni maana ya MGONI na si MZINIFUMzinifu ni mwanaume au mwanake ambaye ana mke au mume lakini anatafunwa au kutafuna nje.
Malaya: ni mwanaume/au mwanamke asiyeweza kutulia na mwanamme au mwanaume mmoja, na hapa kwenye umalaya inaweza kuwa ni mradi wa mtu unaompatia faida fulani
Utakuwa umepatia, sasa kati ya hivyo kipi unafanya😅Mzinifu- Mtu anaefanya tendo bila kufunga ndoa Kanisani/Msikitini.
Malaya-Mtu asiyetulia na mwanamke/Mwanaume mmoja.
Haijalishi Yuko kwenye ndoa au hayuko.
Nimejaribu
na vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Wanaingia katika uzinifu au umalaya?Mzinifu- Mtu anaefanya tendo bila kufunga ndoa Kanisani/Msikitini.
Malaya-Mtu asiyetulia na mwanamke/Mwanaume mmoja.
Haijalishi Yuko kwenye ndoa au hayuko.
Nimejaribu
Aiseee mgoni anafanya kitendo gani? Mzinzi ni yule aliyeko ndani ya agano akavunja agano,Uliyoweka wewe ni maana ya MGONI na si MZINIFU
na vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Wanaingia katika uzinifu au umalaya?Mzinifu- Mtu anaefanya tendo bila kufunga ndoa Kanisani/Msikitini.
Malaya-Mtu asiyetulia na mwanamke/Mwanaume mmoja.
Haijalishi Yuko kwenye ndoa au hayuko.
Nimejaribu
Mgoni ni mtu aliyeoa au kuolewa akafanya rendo na mwingine asiye mume au mkewe.Aiseee mgoni anafanya kitendo gani? Mzinzi ni yule aliyeko ndani ya agano akavunja agano,
Huko sipo brona vipi kuhusu mashoga na wasagaji? Wanaingia katika uzinifu au umalaya?
Vyote 😝Utakuwa umepatia, sasa kati ya hivyo kipi unafanya😅
Mzinifu ni alie na ndoa ila anapiga njeMzinifu- Mtu anaefanya tendo bila kufunga ndoa Kanisani/Msikitini.
Malaya-Mtu asiyetulia na mwanamke/Mwanaume mmoja.
Haijalishi Yuko kwenye ndoa au hayuko.
Nimejaribu