Maana sahihi ya Mzinifu na Malaya ni ipi?

Yote yana maana moja, ukiona list yako inasoma zaidi ya watu wawili bc hayo majina n yako.
 
Watu wawili?😅😅😅
Kama n mwanaume na amesex na wanawake watatu kuendelea, huyo ni Malaya/mzinifu

Kama n mwanamke na amesex na wanaume watatu kuendelea, huyo ni Malaya/mzinifu
 
Watu wana coaster zao zimeshajaa, wengine yutong na kusimamisha baadhi ya abiria...unakuja na habari za wawili, watatu! Haujawa serious bado!!
 
Nmesema kuanzia watatu kuendelea, Umeelewa hapo?
 
Tendo la ndoa linapaswa kufanyika kwenye ndoa
Nje ya hapo ni uzinifu na umalaya
 
malaya ni mtu mume anayeshiriki ngono hovyo bila ya kuwa na ndoa

Mzinifu ni mtu mume ama mke aliye katika ndoa na bado anashiriki ngono nje ya ndoa yake
 
Back
Top Bottom