Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
- Thread starter
- #61
kwahiyo wewe unaamini kwamba zinaa sio kufanya mapenzi nje ya ndoa sindio?Hapana, hakuna kiapo cha asili kati ya Mungu na Mwanadamu. Amri ya KUTOZINI inahusisha uvunjivu wa kiapo, kama hukufanya kiapo ndio maana kuna neno mahsusi nalo ni UASHERATI. Mungua liyeagiza ukaijaze dunia hakuwaambia muoe kwanza, ndoa ni ustaarabu wa binadamu, concept ya ndoa ya kwanza ya Eden ni hypothetical tu, hakuna kitu kama hiko. Uasherati unatafuna generation, uzinzi unatafuna nafsi husika.