Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
- Thread starter
- #81
Sawa mkuuMzinifu ni mtu anaefanya tendo la ndoa nje na yule alieekeana nae agano la ndoa kiufupi, yule anaefanya tendo la ndoa nje na yule aliemuoa, au nje na yule alieolewa nae. Umalaya ni uzinifu uliokomaaa sana.