Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 601
- Thread starter
-
- #61
kwahiyo wewe unaamini kwamba zinaa sio kufanya mapenzi nje ya ndoa sindio?Hapana, hakuna kiapo cha asili kati ya Mungu na Mwanadamu. Amri ya KUTOZINI inahusisha uvunjivu wa kiapo, kama hukufanya kiapo ndio maana kuna neno mahsusi nalo ni UASHERATI. Mungua liyeagiza ukaijaze dunia hakuwaambia muoe kwanza, ndoa ni ustaarabu wa binadamu, concept ya ndoa ya kwanza ya Eden ni hypothetical tu, hakuna kitu kama hiko. Uasherati unatafuna generation, uzinzi unatafuna nafsi husika.
na vipi inakua kwa mtu alie oa zaidi ya mke mmoja?Yote yana maana moja, ukiona list yako inasoma zaidi ya watu wawili bc hayo majina n yako.
N umalaya piana vipi inakua kwa mtu alie oa zaidi ya mke mmoja?
swadakta.Tendo la ndoa linapaswa kufanyika kwenye ndoa
Nje ya hapo ni uzinifu na umalaya
ila usisahau katika imani ya dini ya kiislam, kutazama tupu, au kuona uchi nako ni kuzini pia.Hiyo mzinifu ni kuipamba na kuipunguzia makali lakini wote wapo kundi moja la malaya..!!
NB: mzinifu hata akiwa hayupo kwenye ndo ila anahisabika ni anazini tu.malaya ni mtu mume anayeshiriki ngono hovyo bila ya kuwa na ndoa
Mzinifu ni mtu mume ama mke aliye katika ndoa na bado anashiriki ngono nje ya ndoa yake
sasa ikiwa ni imani ya dini ni vibaya?N umalaya pia
Sio vibaya, hata bila udini pia sio vibaya.sasa ikiwa ni imani ya dini ni vibaya?
Sio naamini, hiyo ndio maana ya zinaa. Kuzini ni kuvunja kiapo, Uasherati ni kutia nafsi rehani.kwahiyo wewe unaamini kwamba zinaa sio kufanya mapenzi nje ya ndoa sindio?
Castle_Lite mwingine huyu hapa uliyesema haijui ID yangu,kumbe aliquote comment yangu!Hii definition yako ya umalaya imetuokoa wengi, hizo za juu hapo 🥵
Sio vibaya, hata bila udini pia sio vibaya.
Ila ukiwa na list ya zaidi ya watu wawili bc huo n umalaya.
Uzuri au ubaya, kila mtu ana mtazamo wake.
sasa wewe unaamini nini kama sio unaamini hivyo.Sio naamini, hiyo ndio maana ya zinaa. Kuzini ni kuvunja kiapo, Uasherati ni kutia nafsi rehani.
Nimefanya nini tena?Castle_Lite mwingine huyu hapa uliyesema haijui ID yangu,kumbe aliquote comment yangu!
Siamini, najua.sasa wewe unaamini nini kama sio unaamini hivyo.
sawa kiongoziSiamini, najua.
okay man.
waeza kua sawa au nikawa sawa.hapana, bali mzinifu ni mtu ambaye haijalishi ni mwanaume au mwanamke ila anafanya mapenzi kwakuto halalika kwa kufunga ndoa baina ya mwanamke na mwanaume, na ukija katika umalaya ni uzinifu ulio vuka mipaka, yaani anaweza kua kwenye ndoa au asiwe kwenye ndoa ila yeyote alioko huko nje anapita nao au kupitiwa nao. Sijiu umenielewa kidogo hapo? Au nimekosea!
ni wewe unavyo ona ila mimi naelewa kua unzinzi ni kujamiana inje ya ndoa, yani watu wakiwa hawajaoana na mengine uliosema, kama nyeto.waeza kua sawa au nikawa sawa.
Ni hivi, tumezaliwa tuzaliane kwahiyo kile kitendo chakukwepa kuzalisha mimi ndio nakiita uzinzzi mfano, kuvaa condom, kumwaga nje, kupiga punyeto na yote yasiyoruhusu mbegu kuingia katika mzunguko wenye ueezekano wa kuzalisha.
na umalaya ni ile hali mwanamke kuruhusu kila mwanaume aweze kutaka kumzalisha japo humohumo anakutana mpaka na wazinzi