Maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza

Angalau haya.yana asili ya kibantu sio wale bakita wengine walikuwa Wana copyajina.ya kiarabu na kuislimisha lugha ya kiswahili
 
Wasituzingue 😅
 
Mfulumbato - Clutch
 
Yaani hapo nikionacho mimi ni Kilatini tupo hicho. Na wanatumia binomial nomencrature kufanya naming.

Wakileta masikhara yao, watakiua kiswahili mapema sana.
 
Kishkwambi-ipad
Msimbomilia-barcode
Mubashara-live

Yakitumika sana huwa yakawaida eg Mubashara na kishkwambi au misimbomilia ukienda primary school yanatumika vema

Naomba nitumie kimemeshi chako ku memesha simu yangu pia tuletee vimbaka hapa mezani
 
Niliwai kusema PHYSICS ikitafsiliwa kwa kiswahili ndio itakua ngumu zaidi 😊😂
 
Bora hapa inaonekana kuna ubantu, neno live kuitwa Mubashara sikubaliani nalo. Yaani sasa ivi tunashindwa kutafuta maneno yetu ya kiswahili tunachukua ya kiarabu???
 
nilisema bakita ni takataka. Waulize etymology ya maneno hayo ni ipi? Si ajabu mtu analeta jina la bibi /babu yake linakuwa neno la kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…