Maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza

ni "mubashara" au ni "mbashara" wangefafanua hili kwanza
 
Hawaitwi Wazinzi tena 😊
 
Wasumbufu kulipa madeni bila shaka wataitwa "wanyagesi"🤣🤣
 
Wana-complicate maneno kiasi ambacho raia hawatakaa wayatumie kwa sababu ni magumu halafu hayaendani na vitu. Kwa nini hawashirikishi umma? Kwenye hii list neno walilolipatia ni kadikazi (business card). Ukiniambia mimi nitoe maoni yangu:
1. Charger - kichajio
2. Appertizers - kitiahamu
3. Simcard - kadisimu
4. Memory card - Kadikumbu
5. Business card - kadikazi (nalikubali)
6. Microwave - Jikomiale
7. Cocktail - tafrijatanzu
8. Lift - lifti
9. Toothpick - kichokoameno
10. Scanner - Kidurufu
 
Kumtorosha mke wa mtu kutaitwa "kuhala"
 
Hawa wanakula mshahara wa bure tu
Eti chips ni vibanzi

Si umwambie hivyo muuzaji si utakula mabanzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…