Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mke wangu nilimuoa kutoka kwa mwanaume mwingine ambaye waliachana baada ya tafrani kadhaa.

Tuna mwaka wa 12 sasa kwenye ndoa hatujawahi peleka kesi kwa wazee wala kumkuta na shida yeyote.

Bikra sio kigezo ni personality ya mtu tuu.
Ahsante kwa ushuhuda huo. Ninawaombea muendelee na amani hiyo hiyo. Mwabiye binti yako huyo ninampa hongera kwa kujua nini maana ya ndoa. Endele kumtunza hakika hutajuta kumchukua huyo mama. Waache waendelee kutafuta bikira badala ya kutafuta mke mwema.
 
Wanaume ni wale wale we never change our attitudes. Shida ni moja kwa wanawake wa sasa wanaotaka kuingilia majukumu ya wanaume. Pale wanawake wanapo ona majukumu yamezidi ndio lawama huanza
 
Ni kweli kabisa. Jiulize kwanini huyo mzeebaba alisepa? hakuna mwanaume anamkimbia au kumtosa mtoto mkali, mwenye heshima n mnyenyekevu mwenye kauli nzuri na aliyelelewa vyema.


Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
Swali la msingi sana

Kabla ya kuamua kumuoa huyo anayeitwa single maza, jiulize:-

''Kwanini awe single???''

Kwanini asiishi na Mzazi mwenzie aliyezaa nae?
 
Ivi mtu unatoa mguu kwenda kuoa mtu kashindikana...serious???!!!

Mimi hua nawashauri kwamba kwanza single maza usilazimishe mwanao kupendwa na baba mpya. Kwanza mwanao ni "historia mbaya" kwa mumeo mpya hivyo epusha kumkutanisha nae physically au kimajukumu.

Na siku zote hua nashauri kama umezaa acha toto kwa bibiake upunguze kero kwa mumeo. Maana tayari unalo "tatizo" sasa kitendo cha kulikumbatia litakusababishia tatizo no.2 kuachwa au kukosa mume.

Single maza akiwa smart anaolewa vizuri sana na atafurahia upya maisha yake ya ndoa kuliko anayelazimisha mambo
 
Hili andiko mkuu kwanini usichukulie PhD pale Ustawi College?
 
Ukioa bikra bado una mtihani akibahatika kuonja na za wanaume wengine. Kisha anakiwa very poor kwenye relations. Ni Bora uoe mwanamke aliyekuja kwako sababu "kafika"
 
Ekm hvy hitapata wa kumuoa maana unataka mabikra na asilimia kubwa ya hao mabikra ni maskini na watoto wa maisha ya kawaida t, hvy km unataka tajiri kubaliana na yote hata akiwa c single Maza Ila co bikra km wapo ni wachache
 
Aisee ,hii deep sana
 
Ukioa bikra bado una mtihani akibahatika kuonja na za wanaume wengine. Kisha anakiwa very poor kwenye relations. Ni Bora uoe mwanamke aliyekuja kwako sababu "kafika"
Kujifariji tu,kuoa bikra raha na ego pia,sasa huyo ambaye ni malaya(asiye bikra) utajuaje kafika kwako wakati ashatembea sana
 
Sema mkuu huwa nakukubali kwa nyuzi za kuamsha hasira za kina dada humu...aisee kwahilo hujambo..ila kuna ukweli fulani ndani yake.
 
Kwa kweli kuna ukakasi sana hapo, unalea mtoto wa kidume mwenzako, siku ya sherehe/harusi ndio jamaa anajitokeza eti yeye ndio baba wa mtoto, anasimama "mkabala" kabisa na mkeo wanalishana keki dadeq. Naweza toboa ardhi nitumbukie chini, lakini si ndio baba na mama wa mtoto????
 
Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Huu ni uandishi wa kijana na bado ana akili za ujana hajakua kifikra bado (hata kama atakuwa na umri mkubwa). Inavyoonekana amewachezea wasichana wengi na kuwaacha, sasa kasikia wanaolewa anaamua kuanza fitina. kwa ujumla ameandika uzi wake akiongozwa na GHUBU.

Naomba asikushughulishe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…