Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kuna single maza watamu asee..mpaka unajiuliza ilikuawaje Huyu akatelekezwa?
 
Mtoa Mada Yuko right kabisa.. Hayo aliyoongea yote Yapo kabisaaa.. Na nimeshuhudia kabisa..
Binafsi nashauri Single mother's wa kuoa ni yule alo-fiwa na Mumewe na hakikisha kaburi la mzazi mwenzie umeliona vinginevyo, itakula Kwako...
 
Daaaah. Aisee nineoa single mother. Sasa uzi kama huu unakuwa kama unanihukunu huvi kweli mwanae ndio kipaumbele chake. Eeeeh Mungu niongize katika njia salama ,
Ameen.
Bado hujachelewa.
Tafakari na Chukua hatua.

BIBLIA:
22 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
Ufunuo wa Yohana 3 :22
 
Kuoa single mother ni upuuzi uliopindukia kwa kijana. Labda kama umefiwa na mke na huna habari za kuzaa tena unaweza sogeza single mother msaidiane kulea watoto wenu pamoja.
Hapa Jirani na kwangu kuna mdada ni Mwl kaolewa na Dr mmoja toka Kaskazini na jamaa kadanganywa na demu eti hajazaaa, na kakubali.

Siku jamaa alipokuja jitambulisha watoto wa bidada waliambiwa na bibi yao wamuite Mama yao Dada, na ndivyo ilifanyika hivyo.

Chakushangaza Mwl huyo ana watoto 3, wa kwanza form 3, wapili form 1 wa mwisho std 6...

Nachojiliza inakuwaje Dr mzima ashindwe gundua mwenza wake hajazaa? Na itakuwaje cku akigundua japo najua si rahisi?
Ama kweli ya MUNGU mengi na ya Kuku mayai..
 
Bado hujachelewa.
Tafakari na Chukua hatua.

BIBLIA:
22 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
Ufunuo wa Yohana 3 :22
Kwahiyo unanishauri nimuache au sio mkuu?
 

ukweli mchungu umeandika, jiandae kupigwa mawe na wadau
 

Mwamba kisu inagonga mfupa[emoji45][emoji45][emoji45]
 
mlioa single mother tupeni mrejesho.hapo kwenye kuoa mwanamke masikini nakupinga.kwanini unapinga kuoa mwanamke masikini?
 
Hapa kuna single mother mmoja tumekutana siku ya pili leo na nimekula tunda ila tayar nimepigwa mzinga,anaomba nimsaport mwanae ana birthday nimsaidie pesa amfanyie birthday nzur.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vipi bado unae?
 
Mheshimiwa!! Mbona hii ni chai isiyo na tangawizi, inawezekana vipi wewe ujue halafu muhusika asijue!!?
 
Du, jamaa akigundua hiyo ndoa bai bai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…