Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nashauri Single mother's wa kuoa ni yule alo-fiwa na Mumewe na hakikisha kaburi la mzazi mwenzie umeliona vinginevyo, itakula Kwako...Mtoa Mada Yuko right kabisa.. Hayo aliyoongea yote Yapo kabisaaa.. Na nimeshuhudia kabisa..
Bado hujachelewa.Daaaah. Aisee nineoa single mother. Sasa uzi kama huu unakuwa kama unanihukunu huvi kweli mwanae ndio kipaumbele chake. Eeeeh Mungu niongize katika njia salama ,
Ameen.
Hapa Jirani na kwangu kuna mdada ni Mwl kaolewa na Dr mmoja toka Kaskazini na jamaa kadanganywa na demu eti hajazaaa, na kakubali.Kuoa single mother ni upuuzi uliopindukia kwa kijana. Labda kama umefiwa na mke na huna habari za kuzaa tena unaweza sogeza single mother msaidiane kulea watoto wenu pamoja.
Kwahiyo unanishauri nimuache au sio mkuu?Bado hujachelewa.
Tafakari na Chukua hatua.
BIBLIA:
22 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.
Ufunuo wa Yohana 3 :22
Wakuu habari zenu.
Mimi ni mfuasi wa wanawake walioolewa bikra, na wanawake wenye bikra mpaka hivi leo. Nina sababu zangu nyeti za kuwapenda na kuwapigia chapuo wanawake hao, pia nawashauri vijana waodgo na wakubwa ambao mpaka sasa hamjaoa, Basi oeni wanawake wenye bikra. Usije ukajichanganya wala ukalaghaiwa na maneno ya wanawake malaya. Biblia inasema; Mwanamke malaya midomo yake yadondoza asali. Yaani wana maneno matatu ya kukurubuni, nawe kwa ujinga na ushamba unaingia mkenge. Usikubali.
Sasa nije kwenye mada yetu ya Single mothers ni sikio la kufa.
Kwanza nianze kwa kusema 95% ya single Mother ni sikio la kufa, vichomi, viungulizi, na wauaji. 5% Wapo vizuri, tena kwenye hiyo 5% 3% ni wale waliofiwa na waume zao au waliowazalisha. 2% ndio ambao ni singele mother waliotalakiana na waume zao au waliowazalisha na wakawa na tabia njema. Kwa waliosoma Hesabu za probability mtaungana na mimi kuwa hakuna uwezekano wa kumuoa single mother mzuri na kama uwezekano upo basi ni mdogo.
Usumbufu wa Single mother unaanzia hapa
1. Mtoto wake ndio kipaombele.
Single mother wote duniani 95% watoto wao waliokuletea ndio kipaombele namba moja, yeye namba mbili, wazazi wake namba tatu, kisha wewe ndio unashika namba nne. Single mother wengi 95% wanataka wewe usiye baba wa mtoto ubebe jukumu lisilokuhusu, Yaani umlee mtoto wa mwanaume mwingine, na usipofanya hivyo utaingia kwenye uhasama, migogoro, vita, na ikiwezekana kukudhuru kisaikolojia. Wao humtumia mtoto kama kinga na uthibitisho wa mapenzi yako kwao. Jambo ambalo wanaume wengi 90% hatuwezi.
Kumbuka mtoto huyu huyu baadaye anaweza kuwa kitanzi kwako.
2. MAHUSIANO NA MZAZI MWENZAKE
Kisheria na kimila huwezi vunja mahusiano ya Mke wako aliye-single mother na mzazi mwenzake, hiyo haiwezekani. Itawezekana tuu endapo Mwanaume(?huyo mzazi mwenza) hatakuwa na habari naye. Yaani kaamua kumtelekeza. Itawezakana kama mzazi mwenzake amekufa, Pia, itawezekana endapo uchumi wako ni mkubwa mara mia moja ya mzazi aliyemzalisha. Vinginevyo utaambulia maumivu. Mwanzoni ataonyesha kujificha lakini kadiri siku zinavyoenda ataanza kukujibu kuwa huyo ni mzazi mwenzake hawajadili mapenzi bali wanajadili masuala ya mtoto.
Wanaumr erngi 90% hatupo tayari kuona majadiliano yoyote yale, yawe ya mtoto, sijui ya nini baina ya wake tuliowaoa na wanaume wengine hasa waliowahi kuwa kimapenzi na wake zetu.
3. KUTIMIZA RATIBA
Single mother wengi huolewa ili kutimiza ratiba na sio mapenzi ya kweli. Wengi ni vichomi, vigagula, tena upate wale wenye umri kuanzia miaka 30 wengi 90% washanusa kwenye milango ya waganga wa kienyeji kama sio kununua uchawi kabisa, Wengi wana chale miilini mwao. Usishangae kukuta chale kwenye makalio, katikati ya maziwa, juu ya kiuno n.k.
Hawana Munkari wa ndoa, ukifika nyumbani wanakereka, wao hupenda kuishi wenyewe na watoto wao.
4. WENGI HUSUBIRI WATOTO WAKUE
Single mother wengi hujifanya wavumilivu, huvumilia uwepo wa waume zao ndani ya nyumba japo hawapendi ukiwepo nyumbani. Hufanya hivi wakisubiria watoto wakue kue mpaka miaka 20 walau, tena husubiri mtoto akimaliza chuo na kupata kazi na hapo ndipo utaonja joto ya jiwe. Ujeuri unaanza, kiburi, dharau, na umalaya unapamba moto, wanajua huwezi kuwafanya chochote, ukiwazingua wanakimbia kwa watoto wao maana tayari wanakazi, tena usiombe mtoto wa nje ndio akawa na mafanikio mbona utaisoma namba.
Wengi wakifika muda huu hudai talaka kivyovyote. Huwababaishi.
90% ya single mother wapo kimaslahi, hawana mapenzi ya kweli kwa waume zao. Wanachokifanya ni kuwarubuni ili wapate pakuishi na kusubiri mtoto wake wa nje akue. Akishakua hana wasiwasi watoto wako anajua anauwezo wa kukuachia hapo akaondoka kwani hutaweza kuwafukuza.
Unapooa single mother usifikirie tuu habari ya mzazi mwenzake bali fikiria hata kipindi cha uzee wako. Single mother wengi 90% husumbua uzeeni hasa watoto wakishakuwa na maisha fulani ya kujitegemea.
Nimalize kwa kushauri;
Usioe mwanamke asiye na bikra. Usioe mwanamke ambaye ni masikini. Hutaki acha hakuna anayekulazimisha. Single mother 95% ni sumu. na sumu haionjwi
Nawasilisha
You are talking about widows (wajane). Big difference.
On marrying a single mother, the disadvantages outweigh the advantages. It is as simple and straightforward as that.
The fact is, women don't bring anything to the table like they used to in the past. In the 70s to 90s, it still made sense to marry a single mother for the simple reason that they brought ALOT to the table. It was cheap to raise kids, women treated husbands like kings, and everyone was happy with their gender roles. So, at that time, a woman with maybe one kid was still acceptable when it's all said and done. Nowadays, life is different and things have changed. This has forced men to become smarter with their resources.
Today, women can't cook, can't clean, sex is cheap and can be outsourced, there are undefined gender roles etc. So, the modern woman doesn't really add any value to a man's life exceptcompanionshipand children. When she comes with baggage (mtoto wake), the deal becomes unacceptable. The only woman with any value left is a childless and young woman in her prime (below 25 years). The rest don't offer any value proposition to a man for a long-term relationship.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wasichana au kina dada ambao ni single mother wengi wanakuwa warahisi sana, yaani beki hazikabi. Alafu huenda wengi kisaikolojia hawapo sawa.
mlioa single mother tupeni mrejesho.hapo kwenye kuoa mwanamke masikini nakupinga.kwanini unapinga kuoa mwanamke masikini?Wakuu habari zenu.
Mimi ni mfuasi wa wanawake walioolewa bikra, na wanawake wenye bikra mpaka hivi leo. Nina sababu zangu nyeti za kuwapenda na kuwapigia chapuo wanawake hao, pia nawashauri vijana waodgo na wakubwa ambao mpaka sasa hamjaoa, Basi oeni wanawake wenye bikra. Usije ukajichanganya wala ukalaghaiwa na maneno ya wanawake malaya. Biblia inasema; Mwanamke malaya midomo yake yadondoza asali. Yaani wana maneno matatu ya kukurubuni, nawe kwa ujinga na ushamba unaingia mkenge. Usikubali.
Sasa nije kwenye mada yetu ya Single mothers ni sikio la kufa.
Kwanza nianze kwa kusema 95% ya single Mother ni sikio la kufa, vichomi, viungulizi, na wauaji. 5% Wapo vizuri, tena kwenye hiyo 5% 3% ni wale waliofiwa na waume zao au waliowazalisha. 2% ndio ambao ni singele mother waliotalakiana na waume zao au waliowazalisha na wakawa na tabia njema. Kwa waliosoma Hesabu za probability mtaungana na mimi kuwa hakuna uwezekano wa kumuoa single mother mzuri na kama uwezekano upo basi ni mdogo.
Usumbufu wa Single mother unaanzia hapa
1. Mtoto wake ndio kipaombele.
Single mother wote duniani 95% watoto wao waliokuletea ndio kipaombele namba moja, yeye namba mbili, wazazi wake namba tatu, kisha wewe ndio unashika namba nne. Single mother wengi 95% wanataka wewe usiye baba wa mtoto ubebe jukumu lisilokuhusu, Yaani umlee mtoto wa mwanaume mwingine, na usipofanya hivyo utaingia kwenye uhasama, migogoro, vita, na ikiwezekana kukudhuru kisaikolojia. Wao humtumia mtoto kama kinga na uthibitisho wa mapenzi yako kwao. Jambo ambalo wanaume wengi 90% hatuwezi.
Kumbuka mtoto huyu huyu baadaye anaweza kuwa kitanzi kwako.
2. MAHUSIANO NA MZAZI MWENZAKE
Kisheria na kimila huwezi vunja mahusiano ya Mke wako aliye-single mother na mzazi mwenzake, hiyo haiwezekani. Itawezekana tuu endapo Mwanaume(?huyo mzazi mwenza) hatakuwa na habari naye. Yaani kaamua kumtelekeza. Itawezakana kama mzazi mwenzake amekufa, Pia, itawezekana endapo uchumi wako ni mkubwa mara mia moja ya mzazi aliyemzalisha. Vinginevyo utaambulia maumivu. Mwanzoni ataonyesha kujificha lakini kadiri siku zinavyoenda ataanza kukujibu kuwa huyo ni mzazi mwenzake hawajadili mapenzi bali wanajadili masuala ya mtoto.
Wanaumr erngi 90% hatupo tayari kuona majadiliano yoyote yale, yawe ya mtoto, sijui ya nini baina ya wake tuliowaoa na wanaume wengine hasa waliowahi kuwa kimapenzi na wake zetu.
3. KUTIMIZA RATIBA
Single mother wengi huolewa ili kutimiza ratiba na sio mapenzi ya kweli. Wengi ni vichomi, vigagula, tena upate wale wenye umri kuanzia miaka 30 wengi 90% washanusa kwenye milango ya waganga wa kienyeji kama sio kununua uchawi kabisa, Wengi wana chale miilini mwao. Usishangae kukuta chale kwenye makalio, katikati ya maziwa, juu ya kiuno n.k.
Hawana Munkari wa ndoa, ukifika nyumbani wanakereka, wao hupenda kuishi wenyewe na watoto wao.
4. WENGI HUSUBIRI WATOTO WAKUE
Single mother wengi hujifanya wavumilivu, huvumilia uwepo wa waume zao ndani ya nyumba japo hawapendi ukiwepo nyumbani. Hufanya hivi wakisubiria watoto wakue kue mpaka miaka 20 walau, tena husubiri mtoto akimaliza chuo na kupata kazi na hapo ndipo utaonja joto ya jiwe. Ujeuri unaanza, kiburi, dharau, na umalaya unapamba moto, wanajua huwezi kuwafanya chochote, ukiwazingua wanakimbia kwa watoto wao maana tayari wanakazi, tena usiombe mtoto wa nje ndio akawa na mafanikio mbona utaisoma namba.
Wengi wakifika muda huu hudai talaka kivyovyote. Huwababaishi.
90% ya single mother wapo kimaslahi, hawana mapenzi ya kweli kwa waume zao. Wanachokifanya ni kuwarubuni ili wapate pakuishi na kusubiri mtoto wake wa nje akue. Akishakua hana wasiwasi watoto wako anajua anauwezo wa kukuachia hapo akaondoka kwani hutaweza kuwafukuza.
Unapooa single mother usifikirie tuu habari ya mzazi mwenzake bali fikiria hata kipindi cha uzee wako. Single mother wengi 90% husumbua uzeeni hasa watoto wakishakuwa na maisha fulani ya kujitegemea.
Nimalize kwa kushauri;
Usioe mwanamke asiye na bikra. Usioe mwanamke ambaye ni masikini. Hutaki acha hakuna anayekulazimisha. Single mother 95% ni sumu. na sumu haionjwi
Nawasilisha
jf jukwaa huru kila mtu anatoa mawazo yakeMwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
kwa hiyo kama katunzwa na baba wa kambo ndo asiseme ukweli?duuh aisee, ukute hata wewe umetunzwa na baba wa kambo tena kwa upendo tuu. afu hao single maza si wanatelekezwa na nyie wanaume wenyewe. na ukute unaongea hivyo huku mchepuko wako una mimba yako na unatengeneza single mama kibao
inaonekana una uzoefu nao sanawasichana au kina dada ambao ni single mother wengi wanakuwa warahisi sana, yaani beki hazikabi. Alafu huenda wengi kisaikolojia hawapo sawa.
nasikia wana mapenzi sana sio mchezoDaaaah. Aisee nineoa single mother. Sasa uzi kama huu unakuwa kama unanihukunu huvi kweli mwanae ndio kipaumbele chake. Eeeeh Mungu niongize katika njia salama ,
Ameen.
umewahi kudate na single mother?Mtoa Mada Yuko right kabisa.. Hayo aliyoongea yote Yapo kabisaaa.. Na nimeshuhudia kabisa..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vipi bado unae?Hapa kuna single mother mmoja tumekutana siku ya pili leo na nimekula tunda ila tayar nimepigwa mzinga,anaomba nimsaport mwanae ana birthday nimsaidie pesa amfanyie birthday nzur.
Kabisa kabisa...Kwahiyo unanishauri nimuache au sio mkuu?
Mheshimiwa!! Mbona hii ni chai isiyo na tangawizi, inawezekana vipi wewe ujue halafu muhusika asijue!!?Hapa Jirani na kwangu kuna mdada ni Mwl kaolewa na Dr mmoja toka Kaskazini na jamaa kadanganywa na demu eti hajazaaa, na kakubali.
Siku jamaa alipokuja jitambulisha watoto wa bidada waliambiwa na bibi yao wamuite Mama yao Dada, na ndivyo ilifanyika hivyo.
Chakushangaza Mwl huyo ana watoto 3, wa kwanza form 3, wapili form 1 wa mwisho std 6...
Nachojiliza inakuwaje Dr mzima ashindwe gundua mwenza wake hajazaa? Na itakuwaje cku akigundua japo najua si rahisi? Ama kweli ya MUNGU mengi na ya Kuku mayai..
Du, jamaa akigundua hiyo ndoa bai bai.Hapa Jirani na kwangu kuna mdada ni Mwl kaolewa na Dr mmoja toka Kaskazini na jamaa kadanganywa na demu eti hajazaaa, na kakubali.