Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

naunga mkono hoja

wanawake single mother wengi wanakuja sana kwetu sisi waganga wa kienyeji tunawapa madawa

ni kweli kwamba baba wa mtoto akitaka mzigo muda wowote anapewa sasa kama wewe kiburi oa tu single mother
[emoji3][emoji3][emoji3] mjomba wewe ni mganga!?
 
Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Makaghare 😂😂😂😂😂
 
kuoa single mother ni kama mpira kuanza 1-0...mpira unaanza tu tayari mpinzani ana goli
 
Unaamini katika imani za dini?
 
Hakuna ambaye hajaathirika na singo maza sababu
  • anaweza kuwa ni binti yako
  • anaweza kuwa mama yako
  • anaweza kuwa dada yako
Au shangazi yako
Bibi yako
Kila mtu inamgusa hii janga la kitaifa
Cha maana vijana tuache kuowa singo maza
Ili wazazi wawakanye watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…