Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
MfyuuuuAah wapi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MfyuuuuAah wapi...
Daah [emoji3][emoji3]tumekukamata singo maza mmoja
wewe ni singo maza
Nimecheka sana [emoji3][emoji3]sababu anaitaka ndoa kwa gharama yoyote,atakunyonya hadi utumbo
[emoji3][emoji3][emoji3] mjomba wewe ni mganga!?naunga mkono hoja
wanawake single mother wengi wanakuja sana kwetu sisi waganga wa kienyeji tunawapa madawa
ni kweli kwamba baba wa mtoto akitaka mzigo muda wowote anapewa sasa kama wewe kiburi oa tu single mother
Makaghare 😂😂😂😂😂Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Huu uzi wa zamani kidogo sema wewe na andreakalima mmeuchokonoa hadi na mimi nimeuona. 😂😂😂Daah [emoji3][emoji3]
Hahaa[emoji3][emoji3] wajua humu kuna Watu Wana vituko sanaHuu uzi wa zamani kidogo sema wewe na andreakalima mmeuchokonoa hadi na mimi nimeuona. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yako ni single mother?Tunaomba na ushauri kuhusu single faza maana Uzi za humu kutwa kuwaponda dada zetu
Unaamini katika imani za dini?Mkuu hamna kitu kama hicho asikutie wasiwasi ndg yangu..
Mpende mkeo ishi naye kwa amani, sio kila single mama walizaa kwakuwa ni Malaya hapana. Hata hao anaowasema bikra ni tatzo tena tatzo kubwa sana maana wameyajulia mapenzi ukubwani na akionja nje hashikiki.
And that's why i followed himSema mkuu huwa nakukubali kwa nyuzi za kuamsha hasira za kina dada humu...aisee kwahilo hujambo..ila kuna ukweli fulani ndani yake.
Kisu kwenye mfupa ngeee!!!tumekukamata singo maza mmoja
wewe ni singo maza
Imekuuma sio, acheni kuga.......waMwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
vipi umewahi kuishi na single mother?Nilifanya utafiti wa kina nikapata yote uliyoandika. Hongera ! Single mother ni moto wa kuotea mbali! Fikiria kwa makini! Aliyezaa nae kwa nini kamuacha!
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
vipi umewahi kuishi na single mother?