Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
 

Bila shaka umeuziwa mbuzi kwenye gunia, pole sana mkuu.
 
Inawezekana andiko lako likabeba ukweli ndani yake......lakini haitupi sababu ya kuwahukumu kwenye kapu moja na waliowema Kati Yao.....
 
Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Hivi October ilikuwa makorokocho mengi namna hii?
Bora nilikuwa offline muda mwingi.
Mwalimu wangu una moyo sana kujaribu kuelimisha watu wa namna hii!!
 
Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], chief usifanye hivo na usimhukumu mtoto wa watu kwa Mada toka jamii forums.
 
Mwanaume alie kamilika awezi oa single mama

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wanaume waliokamilika wanaoa hata MTU mwenye sifa kama za mama yako(mwenye mtoto wa umri wako na kaka na wadogo zake) na anatulia kwenye ndoa na watoto wote wanapata mahitaji yao.

Mwanaume asiyekamilika ndo chaguzi nyiiingi kama hizo za kuogopa watoto.
 
Tajiri wa Magomeni, sijawahi kuishi nao ila kuna mmoja alijileta nikajaribu kumhoji ni kwa nini aliachana na mwenzake, jibu akasema mwenzaje akikuwa bonge la zuzu! Nikaona nami nitakuwa zuzu nikaachana nae. Nia yake nimsomeshe mtoto wake, nikasepa.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], chief usifanye hivo na usimhukumu mtoto wa watu kwa Mada toka jamii forums.
[emoji16][emoji16] ukiifuatisha Jf unaweza kupoteza uwepo wa hisia za upendo haki vile yaani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee ukakimbia kulipa ada
 
Nimeshajifunza mengi Sana kuhusu single maza baada ya kuwa kwenye uhusiano nae kwa zaidi ya miaka mitatu,
Hayo yote kweli tupu
 
Nadhani uwepo wa mabikra huchagizwa na wanaume kupunguza/kuacha uzinzi maana wanaowatoa hizo bikra si ni sisi?
Ila naona mkuu Joka hizi mada za mabikra umezivalia njuga milele[emoji1]


Nasimama na paragraph ya kwanza! Uko sahihi sana Chief(my perception!)

Paragraph ya pili; Tujiongeze ! (Lisemwalo tuongeze na letu!!) hasa la Kuzaliwa!!

Binaadam hakuumbwa mshenzi ama mjinga!!

#RealPetceptionIsAChoice!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…