chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Ni taabu
Ni kweli najua kuna baadhi ya wanawake humu hawataufurahia huu uzi kwakuwa wao ni walengwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni taabu
Wakuu habari zenu.
Mimi ni mfuasi wa wanawake walioolewa bikra, na wanawake wenye bikra mpaka hivi leo. Nina sababu zangu nyeti za kuwapenda na kuwapigia chapuo wanawake hao, pia nawashauri vijana waodgo na wakubwa ambao mpaka sasa hamjaoa, Basi oeni wanawake wenye bikra. Usije ukajichanganya wala ukalaghaiwa na maneno ya wanawake malaya. Biblia inasema; Mwanamke malaya midomo yake yadondoza asali. Yaani wana maneno matatu ya kukurubuni, nawe kwa ujinga na ushamba unaingia mkenge. Usikubali.
Sasa nije kwenye mada yetu ya Single mothers ni sikio la kufa.
Kwanza nianze kwa kusema 95% ya single Mother ni sikio la kufa, vichomi, viungulizi, na wauaji. 5% Wapo vizuri, tena kwenye hiyo 5% 3% ni wale waliofiwa na waume zao au waliowazalisha. 2% ndio ambao ni singele mother waliotalakiana na waume zao au waliowazalisha na wakawa na tabia njema. Kwa waliosoma Hesabu za probability mtaungana na mimi kuwa hakuna uwezekano wa kumuoa single mother mzuri na kama uwezekano upo basi ni mdogo.
Usumbufu wa Single mother unaanzia hapa
1. Mtoto wake ndio kipaombele.
Single mother wote duniani 95% watoto wao waliokuletea ndio kipaombele namba moja, yeye namba mbili, wazazi wake namba tatu, kisha wewe ndio unashika namba nne. Single mother wengi 95% wanataka wewe usiye baba wa mtoto ubebe jukumu lisilokuhusu, Yaani umlee mtoto wa mwanaume mwingine, na usipofanya hivyo utaingia kwenye uhasama, migogoro, vita, na ikiwezekana kukudhuru kisaikolojia. Wao humtumia mtoto kama kinga na uthibitisho wa mapenzi yako kwao. Jambo ambalo wanaume wengi 90% hatuwezi.
Kumbuka mtoto huyu huyu baadaye anaweza kuwa kitanzi kwako.
2. MAHUSIANO NA MZAZI MWENZAKE
Kisheria na kimila huwezi vunja mahusiano ya Mke wako aliye-single mother na mzazi mwenzake, hiyo haiwezekani. Itawezekana tuu endapo Mwanaume(?huyo mzazi mwenza) hatakuwa na habari naye. Yaani kaamua kumtelekeza. Itawezakana kama mzazi mwenzake amekufa, Pia, itawezekana endapo uchumi wako ni mkubwa mara mia moja ya mzazi aliyemzalisha. Vinginevyo utaambulia maumivu. Mwanzoni ataonyesha kujificha lakini kadiri siku zinavyoenda ataanza kukujibu kuwa huyo ni mzazi mwenzake hawajadili mapenzi bali wanajadili masuala ya mtoto.
Wanaumr erngi 90% hatupo tayari kuona majadiliano yoyote yale, yawe ya mtoto, sijui ya nini baina ya wake tuliowaoa na wanaume wengine hasa waliowahi kuwa kimapenzi na wake zetu.
3. KUTIMIZA RATIBA
Single mother wengi huolewa ili kutimiza ratiba na sio mapenzi ya kweli. Wengi ni vichomi, vigagula, tena upate wale wenye umri kuanzia miaka 30 wengi 90% washanusa kwenye milango ya waganga wa kienyeji kama sio kununua uchawi kabisa, Wengi wana chale miilini mwao. Usishangae kukuta chale kwenye makalio, katikati ya maziwa, juu ya kiuno n.k.
Hawana Munkari wa ndoa, ukifika nyumbani wanakereka, wao hupenda kuishi wenyewe na watoto wao.
4. WENGI HUSUBIRI WATOTO WAKUE
Single mother wengi hujifanya wavumilivu, huvumilia uwepo wa waume zao ndani ya nyumba japo hawapendi ukiwepo nyumbani. Hufanya hivi wakisubiria watoto wakue kue mpaka miaka 20 walau, tena husubiri mtoto akimaliza chuo na kupata kazi na hapo ndipo utaonja joto ya jiwe. Ujeuri unaanza, kiburi, dharau, na umalaya unapamba moto, wanajua huwezi kuwafanya chochote, ukiwazingua wanakimbia kwa watoto wao maana tayari wanakazi, tena usiombe mtoto wa nje ndio akawa na mafanikio mbona utaisoma namba.
Wengi wakifika muda huu hudai talaka kivyovyote. Huwababaishi.
90% ya single mother wapo kimaslahi, hawana mapenzi ya kweli kwa waume zao. Wanachokifanya ni kuwarubuni ili wapate pakuishi na kusubiri mtoto wake wa nje akue. Akishakua hana wasiwasi watoto wako anajua anauwezo wa kukuachia hapo akaondoka kwani hutaweza kuwafukuza.
Unapooa single mother usifikirie tuu habari ya mzazi mwenzake bali fikiria hata kipindi cha uzee wako. Single mother wengi 90% husumbua uzeeni hasa watoto wakishakuwa na maisha fulani ya kujitegemea.
Nimalize kwa kushauri;
Usioe mwanamke asiye na bikra. Usioe mwanamke ambaye ni masikini. Hutaki acha hakuna anayekulazimisha. Single mother 95% ni sumu. na sumu haionjwi
Nawasilisha
hawa ni wanawake kama wengine...ni dada zetu, wake zetu, mama zetu , shangazi zetu na bibi zetu........kumbuka...alijitomba wenyewe???alikazwa na mtu mwanaume hakika........yes huna haja ya kubwatuka......wana haki zote.......Yes I married one.....hakika tuna furaha kuliko hata huyo bikra unaemvizia.....
Hivi October ilikuwa makorokocho mengi namna hii?Mwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], chief usifanye hivo na usimhukumu mtoto wa watu kwa Mada toka jamii forums.Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
Wanaume waliokamilika wanaoa hata MTU mwenye sifa kama za mama yako(mwenye mtoto wa umri wako na kaka na wadogo zake) na anatulia kwenye ndoa na watoto wote wanapata mahitaji yao.
Duhh[emoji16]Mimi napitia hiyo situation na hivi mara kwa mara huwa ninaupitia huu uzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahah nlikua nipo kwenye mipango ya kuoa hivi karibuni, baada ya kusoma uzi wako nimebadili mawazo nisije kuteseka huko mbeleni.
[emoji16][emoji16] ukiifuatisha Jf unaweza kupoteza uwepo wa hisia za upendo haki vile yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787], chief usifanye hivo na usimhukumu mtoto wa watu kwa Mada toka jamii forums.
Kweli kabisa, sometimes JF ni kijiwe tu kama cha kahawa.[emoji16][emoji16] ukiifuatisha Jf unaweza kupoteza uwepo wa hisia za upendo haki vile yaani
vipi wanayoyaongea wadau humu ni ya kweli?Mimi napitia hiyo situation na hivi mara kwa mara huwa ninaupitia huu uzi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee ukakimbia kulipa adaTajiri wa Magomeni, sijawahi kuishi nao ila kuna mmoja alijileta nikajaribu kumhoji ni kwa nini aliachana na mwenzake, jibu akasema mwenzaje akikuwa bonge la zuzu! Nikaona nami nitakuwa zuzu nikaachana nae. Nia yake nimsomeshe mtoto wake, nikasepa.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nadhani uwepo wa mabikra huchagizwa na wanaume kupunguza/kuacha uzinzi maana wanaowatoa hizo bikra si ni sisi?
Ila naona mkuu Joka hizi mada za mabikra umezivalia njuga milele[emoji1]