Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wahenga tu ndio wanajua maana ya hilo neno!
Kwa kukusaidia kijana wa leo hili ni neno lililotumika sana miaka ya 90+ kwenye nyimbo mbalimbali ni limwanamke liliozalishwa na kuachwa!
Najua maana yake. Nataka nione kama tafsiri uliyo nayo ni sahihi maana unaitumia sehemu isiyohisika.
 
Usithubu Kuwadharau Wanawake...fikiria kuhusu Mama yako Kwanza, Uliwahi Kuuliza Kama Alivyoolewa Alikuwa na hiyo bikra?...kuhusu tabia za Ajabu ni hulka ya mtu, sio kila single mother ni mkengeukaji..zipo Sababu nyingi Zilizowafikisha hapo, mimi ni mwanaume mwenzako lakini sikuungi mkono kwa 100%. Stop Abusing woman, baraka zetu zipo kwenye nyayo zao.
 
Mheshimiwa!! Mbona hii ni chai isiyo na tangawizi, inawezekana vipi wewe ujue halafu muhusika asijue!!?
Siku zote wanaojua mengi yaliyojificha kuhusu mtu fulani ni watu wa pembeni. Muhusika kujua ni ngumu sana labda kama kuna mtu anaweza kuja kukustua kitu ambacho ni kigumu sana.
 
Umekosa busara.
Si kweli.
Endelea na kutafuta bikra,
Nilishamuoa tafuta kingine cha kuandika.
na wanao wa kike waolewe wakiwa bikra
Sina i got 4 boys na wananitosha!
kama ulivyomkuta mama yao.
Haya sasa ni matusi na huenda hiki ndio ulichokuwa unakitafuta.
Let me alert you, ukichagua ku-argue na mimi kwa hoja twende hivyo hivyo mimi ni mtu poa sana namiliki vijiheshima flani vya kinafiki.

Lakini ukichagua ufala, uswahili, upumbavu, ukubi, unungayembe kama ulionao na vyote vya mtindo huu aiseee nilizaliwa ndani yake hatutafika mbali.
Please have some respect
 
Sawa.
 
Sikupingi mkuu,unayoongea 90% uko sahihi sana,cha muhimu ni kuishi nae kwa akili,tena akili ya ziada,huwezi jua hatari yao mpaka yakukute...
 
Sikupingi mkuu,unayoongea 90% uko sahihi sana,cha muhimu ni kuishi nae kwa akili,tena akili ya ziada,huwezi jua hatari yao mpaka yakukute...
Pamoja na kwamba si vyema kutumia mifano micheche kutoa general conclusion hususani kwenye mada zinazohamsha hisia Kali Kama hii, lakini bana kwenye ukweli acha tuseme.

Wachangiaji wengi wamemshambulia mleta mada, lakini mleta mada ana lengo zuri sana la kuwasaidia wanaume.

Mimi ni shuuda wa hiki anachokisema mleta mada.

Nina kaka yangu ambaye kiumri Yuko kwenye mid-thirties, mwaka 2018 alioa mwana mama mmoja ambaye tayari alikuwa ana watoto wawili kutoka kwa wanaume tofauti.

Bro ameishi na yule mwanamke zaidi ya mwaka bila hata kuwepo kwa dalili za mimba, mpaka bro ikabidi aulize tatizo ni Nini, yule mwanamama akasema hata yeye hajui kwanini hashiki mimba, basi bro akapuuzia tu akiamini ipo siku tu mkewe atashika mimba.

Kumbe bwana yule mwanamke kwa kipindi chote alichokuwa akiishi na bro, alikuwa anatumia vidonge vya kuzuia mimba.

Bro alikuja kugundua hilo siku alipomfuma akiwasiliana na ndugu yake(mwanamke) akimwambia kuwa yeye hayuko tayari tena kuzalishwa na mwanaume wa tatu, na kama siku akiamua kuzaa basi atazalishwa na miongoni mwa wale wanaume wake wa mwanzo(wazazi wenza) na sio mume wake(bro wangu).

Mind you, hapo anatamka maneno hayo wakati huo yeye pamoja na hao watoto wake wanatunzwa na bro, yaani kuanzia chakula mpka kuwasomesha bro ndio alishika hilo jukumu na hakuna alichokihitaji ambacho kipo ndani ya uwezo alikikosa kutoka kwa bro.

Sikuwahi kumuona kaka yangu akilia lakini siku hiyo alidondosha machozi kwa uchungu.

Na hapo ndipo unapokuja kuona kuwa, kuoa single mother ni kuoa mke wa mtu. Her first baby daddy will always come first before you.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka ako kiboko..anaoa single mother mwenye watoto wawili tena baba tofauti [emoji3][emoji3]
 
Na hapo ndipo unapokuja kuona kuwa, kuoa single mother ni kuoa mke wa mtu. Her first baby daddy will always come first before you.

Eeeh nilikumiss jamani mweeh.

So hapo mwishoni ni sawa nikisema pia kuwa "kuolewa na single dad ni kuolewa na mume wa mtu. His first baby momma will always come first before you." Au huku kiumeni hali inabadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…