Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi ili asioe mke wa mtu. Alievunja kamba ndio bwana mteule
1. Mkuu sijamkataza kumuoa huyo mwanamke, ila nimejitoa katika zoezi la mimi kushiriki katika mchakato, wangeweza kufanya wengine. Siwezi shiriki kwenda kutoa mahari kwa malaya aposwe na mdogo wangu wa damu, rafiki tuu siwezi.
2. Mimi ni kinara wa kuharibu vilivyo haribiwa yaani kugonga malaya sioni shida, lakini siwezi na sijawahi kutoa bikra ya mtoto wa mtu isipokuwa bikra ya mke wangu niliyemuoa. Nina haribu vilivyoharibiwa, huwezi kuta limwanamke malaya halina bikra alafu useme unaliharibu, unaharibu kitu gani
3. Mimi sio bikra kwa sababu mimi sio mwanamke au shoga. Wanawake ndio wanabikra, na mashoga ndio wanasemaga wao ni bikra hawajawahi kuguswa pindi wanapojitambulisha kwa mabasha zao.
Kwa kifupi, acha tuwe mapunguani. Ni heri niwe kichaa niokote makopo kuliko nijiona nina akili na niheshimiwe wakati nimeoa mwanamke asiye na bikra. Yaani watoto wangu wazaliwe na malaya
Mkuu...laana ya Zinaaa na uchafu mwingine..unaamini inatoka kwa MTU...
Sio Mungu Alie tuumba?
Maana kama Ni zambi ...unawezaje Ukasema Mimi nachagua pakufanyia zambi sehemu nyingine naacha?..Hayo ndo mafundisho yenuWACHAGA?
Limbukeni wa mapenzi
Inaniuuma kwani kanisaaidia nini huyo nduguyo
Umekazania kuwasema masikini, mjinga wewe, kwani kuna mtu aliependa kuwa masikini
Wanawake sijawajua jana.
Siwezi simamisha ili niharibu mwanamke bikra ambaye sitamuoa,
Siwezi toka na mke wa mtu
Hiyo ni miiko binafsi, kama utaona ni unafiki sawa, ila wewe kama ni mwanamke mwenye bikra ruksa kunijaribu.
Lakini kama huna bikra huna haja ya kunijaribu
Wakiwemo dada, mama, shangazi, bibi, na ndugu zako wote wa like.Hatuharibu vitu visafi(Bikra)
Tunaharibu vilivyoharibiwa.
Wanawake wote wakiwa bikra au wameolewa basi ni wazi hakuna uzinzi na mimi nitakuwa sina ujanja tena.
Lakini ikiwa mwanamke hana bikra na hajaolewa binafsi namchukulia kama malaya na chombo cha starehe
Una roho mbaya kama jiweMimi nakataa kwa vitendo Mkuu
Na ukishamuonja ukaona hafai ndo Basi tena bikra ushamtoa mtoto wa watu..wakina joka jeusi wakja wanamuona kikopo tuuSasa mkuu utajuaje binti ni bikra maana siku hizi watoto wadogo tu tayari wafuska nuksi! Ina maana inabidi umuonje kabla hujamuoa sio?
😂😂Hatari sana mkuuNa ukishamuonja ukaona hafai ndo Basi tena bikra ushamtoa mtoto wa watu..wakina joka jeusi wakja wanamuona kikopo tuu