Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Upo sahihi ili asioe mke wa mtu. Alievunja kamba ndio bwana mteule

Humu ndani hata wanitukane vipi, msimamo ndio huo,

Kuoa mwanamke asiye na bikra ni kujitukana tusi kubwa, kila siku ukimuona mkeo ambaye hujamkuta bikra unajitukana wewe ni mpuuzi
 
Bikra ipi inayozungumziwa hapa? Maana ziko za aina nyingi ati. 😉😜
 
Mkuu...laana ya Zinaaa na uchafu mwingine..unaamini inatoka kwa MTU...
Sio Mungu Alie tuumba?

Maana kama Ni zambi ...unawezaje Ukasema Mimi nachagua pakufanyia zambi sehemu nyingine naacha?..Hayo ndo mafundisho yenuWACHAGA?

Dhambi inauzito wake,

Ukimuua mtu aliye na hatia labda kakuchulia mke wako, ni dhambi Lakini haina uzito kama mtu ambaye hajakufanya chochote bali umemuua tuu bila ya hatia yoyote,

Kudhulumu na kuiba ni dhambi lakini uzito wake inategemea unamuibia nani. Kumuibia na kumdhulumu mjane au Yatima ni dhambi nzito kuliko kumuibia tajiri.

Uzinzi.
Kuzini na mtu aliye na bikra ni dhambi nzito ukilinganisha na kuzini na asiye na Bikra
Kuzini na mke wa mtu ni dhambi nztio ukilinganisha na kuzini na mwanamke asiyeolewa na hana bikra
Kuzini na Mama au dada yako ni dhambi nzito kuliko kuzini na mwanamke mwingine tena asiye na bikra

Kila dhambi ina uzito wake mzee Baba,

All in All dhambi ni dhambi lakini haiondoi ukweli kuwa zipo dhambi nzito na zipo dhambi nyepesi.

Ndio maana hata kwenye kuungama kuna namna ya kuziungama, uzito wa dhambi hupelekea mchakato wa kuungama pia kuwa mzito yaani mgumu.
Aliyezini na Mama au mwanamke aliye na bikra hawezi kuomba msamaha kirahisi rahisi tuu ati kwa kufumba macho na kuomba, lazima afanye mifungo ya kutosha, atoe dhabihu ya kutosha.

h
 
Wewe ndio uache shobo na kubabaika na makabila ya watu

Wapi nimebabaika na makabila ya watu mpuuzi wewe.
Wapi nimetaja kabila kwenye huu uzi kama sio wewe sio cherema,
Yaani hata bikra ya kichwani waliitoa? Hatariii hii
 
Wewe ndio uache shobo na kubabaika na makabila ya watu

Hasira zako peleka huko kwa waliokuharibu,
Kabila kabila, nani kataja kabila hapa kama sio wewe mpuuzi,
Wameharibu Giabox na kichwa nacho kimeoza sio
 
Limbukeni wa mapenzi

Na ulimbukeni wa mapenzi siwezi kula mzoga,

Mzoga hauachi kutoa harufu, na haya ndio matokeo, leo utatoa kila aina ya harufu mbaya humu 🤣 🤣

Wewe inakuuma sana mimi kumwambia mdogo wangu asichukue mzoga wakati kuna nyama safi kabisa?
 
Unachukua baadhi ya vifungu vya biblia unakuja kutuhadithia hapa, unadhani kwamba na sisi hatuijui biblia

Biblia unayoijua ndio imekuruhusu kutolewa bikra sio?

Hutaolewa na mdogo wangu, bora aoe mbwa lakini sio malaya
 
Kama ni mtazamo au mitazamo yako baki nayo usituaminishee na sisi tuwe kwenye njia uliyo amua kuwa wewe

Hakuna anayetaka kukuaminisha,

Wewe upo ulimwengu wa mafisi kwa nini unataka kuolewa na simba asiyekula mizoga?
 
Inaniuuma kwani kanisaaidia nini huyo nduguyo

Ndio uachane naye sasa kama hajakusaidia kitu, maana ulitaka akusafishe nyota umuachia mikosi.

Unamng'ang'ania nini sasa kama hajakusaidia.

Hutaolewa ng'oo na dogo, peleka uchafu wako huko
 
Umekazania kuwasema masikini, mjinga wewe, kwani kuna mtu aliependa kuwa masikini

Kama hujaupenda umasikini, basi sisi hatukupendi, Peleka ufukara wako huko.

Hujapenda umasikini kinachokufanya uwe masikini ni nini kama sio mikosi yenu, alafu unataka utuletee ndani ya ukoo wetu.

Tafuta masikini wenzako huko mpeani mikosi yenu, Hapa ndoa futa kabisa na mdogo wangu.
 

Interesting. Kama hutojali, unaweza kunifahamisha kama dini au dhehebu lako vina ushawishi katika hizi kanuni zako nzito za kiimani?

Vipi kuhusu suala la hisia za mapenzi? Nijuavyo, hizi hisia ndio zenye msukumo mkubwa sana katika kujenga na kudumisha mahusiano.
 
Wakiwemo dada, mama, shangazi, bibi, na ndugu zako wote wa like.
Ni Malaya na vyombo vya starehe.
Msieeeeew zako.
 
Sasa mkuu utajuaje binti ni bikra maana siku hizi watoto wadogo tu tayari wafuska nuksi! Ina maana inabidi umuonje kabla hujamuoa sio?
Na ukishamuonja ukaona hafai ndo Basi tena bikra ushamtoa mtoto wa watu..wakina joka jeusi wakja wanamuona kikopo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…