mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mwanamke hawezi kuwa pisi kali kama hana bikra,
Mimi hata uwe mzuri kama malaika kama huna bikra siwezi kukuona mzuri wa kunitingisha hisia zangu, nitakuona kama mbuzi tuu
huyo mkeo Kama angekuwa mzuri tungepita nae.
π π π wacha bhanaMwanamke hawezi kuwa pisi kali kama hana bikra,
Mimi hata uwe mzuri kama malaika kama huna bikra siwezi kukuona mzuri wa kunitingisha hisia zangu, nitakuona kama mbuzi tuu
Unataka jibu gani?Ulithibitishaje kuwa aliolewa akiwa bikra...
Bikra hutolewa kwa mwanamke kujamiana na mwanaume, au kutumia sex machine kujiingiza ukeni,
Hizo za kusema bikra kutolewa na baskel ni uongo wa kutupa na washamba wasiowahi kuzitoa hizo bikra.
πππ
Mkuu mke wangu sio mke wenu. Nashukuru kwa kusema ukweli kuwa ni mke wangu kwani nilimkuta bikra
Ukioa mke asiye na bikta huna mamlaka ya kumuita mkeo, sema mke wa jamhuri
Nimemshangaa mnoo kwa ujinga alioandika ...kaonyesha alivyo mweupe kichwaniHuyo ni mshamba hana anachojua, bikra huthibitishwa na mtu mmoja, yaani mwanaume aliyemlala binti bikra..
Wanaume wengine hudanganya wenzao vijiweni ili wapate ujiko, naona huyu naye kadannganywa
Ushaonyesha upeo wako kwa previous comments so...Fuata Ushauri wa bwana joka jeusi. .. tafuta zee la kumalizia maisha ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unataka jibu gani?
1. Wewe ni mwanamke ilikuthibisha waongo? Kwamba unauzoefu huo
2. Kuna research yoyote kuthibitisha kwamba bikra hutolewa kwa ngono peke yake? Weka ushibitisho
3. Vipi waliobakwa wanahaki ya kuolewa au hapana? Kwanini
Unapojibu hakikisha unafata mtiririko yaani numbering. Usiweke majibu ya jumlajumla yaani ya mtu kilaza.
Tuendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109] mkubwa nakubaliIpo hivyo,
Raha ya mtoto mkali ukute ipo sildi, raha ya chakula kizuri kiwe kimetoka jikoni, sio makombo,
Makombo hata yawe ya nyama choma ni makombo tuu
Kama mke hana hofu ya Mungu hata akiwa bikira atachepuka tu,swala la kuchepuka ni ushetani na shetani hana mipaka isipokuwa pale tu anapokutana na mtu mwenye kuishi kwa haki...
2. Research ni kuwa mwanamke bikra ni yule ambaye hajalala na mwanaume, maana bikra ndio tafsiri yake, maana zipo alama za ubikra. Uke unaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kukojolea lakini kama haujatumika kujamiiana huitwa bado bikra.