Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hujui maana ya hata kama, hata ingekuwa? Huelewi lugha?
Kweli umeeditiwa na akili ipo RIKIZO Badala ya Likizo
 
πŸ˜€πŸ˜€ Wamchokoza joka eeh..
Bikra zipo bwana
 
Kuwa na msimamo, mwambie demu kabisa kama huna bikra hapa hakuna ndoa,

Ukipumbazwa na maneno ya hawa malaya kama unavyoona mfano wa huyu JF watakupoteza.

Mithali 5: 3 - 6
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.

Hapo atakudanganya yeye ni mwanamke mwenye tabia njema, kumbe upuuzi mtupu, angekuwa na tabia njema si angekuwa na bikra? Muulize kama unatabia njema bikra ilienda wapi. Kisha usimsikilize
 
Wewe dada utakuwa huna bikra na wala hujaolewa ndo maan unasumbua na kupinga hii madaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila pole ndo maisha

Huyo kidogo bado anabikra ya ubongo kuna hiyo mbuzi hapo juu Adolay hii atakayoipata amekula hasara. Hakuna hata bikra ya ubongo hapo πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wewe dada utakuwa huna bikra na wala hujaolewa ndo maan unasumbua na kupinga hii madaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila pole ndo maisha
πŸ˜€πŸ˜€ Jf bwana..sawa ahsante nawewe hongera kwa kuolewa bikra..vipi umebarikiwa kupata watoto wangapi?
 
Wewe dada utakuwa huna bikra na wala hujaolewa ndo maan unasumbua na kupinga hii mada[emoji38][emoji38][emoji38] ila pole ndo maisha
Muache mke wangu Cylia mtarajiwa mbona mnamsakama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo baby ndoa ipo njia hata bila bikra
 
Tatizo ni naweza zeeka sijampata. But tangu zamani huwa naishi na hiyo ndoto tatizo umr unaenda matumaini nakosa. Nademand hiyo sifa mana hata mm ninayo. Na pia huwa naumia naoa ambaye daaaa. Ngoja nijipe moyo
 
πŸ˜€πŸ˜€ Jf bwana..sawa ahsante nawewe hongera kwa kuolewa bikra..vipi umebarikiwa kupata watoto wangapi?

Mwambie ni kweli nilitolwa bikra kwa upumbavu wangu lakini kwa uwezo wa Jalia nimebakiza bikra ya Ubongo, sio kama wengine ambao hawana hata bikra moja, wao kila kitu kimetumiwa na jamhuri ya mafisi
 
1. Ndoa changa ya miaka saba, mtoto wa kwanza yupo darasa la kwanza kama uliwahi. Wewe bado mtoto mdogo wangu.

2. Historia ya ndoa kuyumba nimiaka 10 na kuendelea walau zilizoanza kwa utulivu. Chache sana huenda bila misukosuko.

3. Bado kunamengi ya kujifunza, bikra sio kigezo kudumu ndoa muda mrefu, sababu malaya yaani mke/mme ni hulka

4. Ukiweza japo kufika 20yrs ndani ya ndoa at least rudisha mrejesho.

Nakutakia maisha marefu iliujifunze mengi katika maisha.
 
Muache mke wangu Cylia mtarajiwa mbona mnamsakama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo baby ndoa ipo njia hata bila bikra
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Sina shaka na masakamo..kila mtu anaandika vile anavyotaka.
 
Tatizo ni naweza zeeka sijampata. But tangu zamani huwa naishi na hiyo ndoto tatizo umr unaenda matumaini nakosa. Nademand hiyo sifa mana hata mm ninayo. Na pia huwa naumia naoa ambaye daaaa. Ngoja nijipe moyo

Unazeekaje bikra zimejaa kama njugu mtaani.

Mimi wa kwangu nilimpata akiwa kidato cha tano Akiwa anasoma St. Marry, tangia hapo nikakaza mpaka nikaja nikamuoa hiyo 2013 akiwa anasoma mwaka wa nne Pale Muhimbili
 
Tangu mwanzo nimeshakwambia jinsi unavyofikiri wewe usilazmishe na wengine wafikiri kwa kimo hichoicho kidogo kama cha kwako! You are thinking within the box my bro, alafu hapohapo unalazmisha watu wakuone ni great thinker! Mwafrika yeyote alizaliwa bara la Afrika ana damu ya umaskini lakini eti wewe uliyezaliwa Tanzania, nchi masikini, mkoa masikini, wilaya maskini, tarafa maskini, kata masikini, familia maskini, na hapohapo hujioni kama una damu ya umaskini eti kisa una employment wewe na wife wako mwenye bikira!
Kwanza kama tayari wewe ulishaoa hiyo miaka 7ilopita na dunia inabadilika kwa speed kali namna hii bado unataka na wengine wafuate mambo ya ukale uloyafuata wewe huoni kama wewe ni dikteta! Kama tayari ulishaoa mpaka leo bado unaongelea mambo ya kuoa ya kazi gani? Wewe huna majukumu mengine ya msingi mpaka urudi kuongelea kuoa? Wastage of time and brain!
Nitakupinga siku zote kwa huo msimamo wako wa kipuuzi, sababu tukiendesha kampeni za kipuuzi kama hizo je dada zetu single mamaz wataolewa na nani wakati sisi wenyewe wanaume ndio waharibifu! Please stop such stupid idea!
 
Mwambie ni kweli nilitolwa bikra kwa upumbavu wangu lakini kwa uwezo wa Jalia nimebakiza bikra ya Ubongo, sio kama wengine ambao hawana hata bikra moja, wao kila kitu kimetumiwa na jamhuri ya mafisi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Naomba umwambie badala yangu
 
Kama ndivyo tuambie

Bikra hutoka/hutolewa katika mazingira yapi kwa uchache?

Namaanisha mambo gani yanaweza kusababisha mwanamke/mtoto wa kike apoteze bikra yake?

Bikira hutolewa na dushe tu mzee baba, achana kabisa na tantalila zile zingine ni kukuingiza mkenge tu!
 
Huyo kidogo bado anabikra ya ubongo kuna hiyo mbuzi hapo juu Adolay hii atakayoipata amekula hasara. Hakuna hata bikra ya ubongo hapo πŸ˜€ πŸ˜€

πŸ˜€πŸ˜€ mdogo wangu jiheshimu nimegundua umri unakusumbua.

Nimekuwa mpole tu nikuelimishe kama mdogo wangu wa mwisho ndoa yake 15yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…