Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Heh! Kumbeee!!! Nilijua wenye bikra tu.Anayeolewa ni yeyote Mkuu usikate tamaa lakini Anayefurahia ndoa sio yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heh! Kumbeee!!! Nilijua wenye bikra tu.Anayeolewa ni yeyote Mkuu usikate tamaa lakini Anayefurahia ndoa sio yeyote
Nilitaka kuku prove wrong
Nimethibitisha wewe ni kilaza tu, huna idea yoyote ila mlopokaji tu
Kushindwa kutoa majibu sahihi kwa evidence na specific reference
1. Umeshindwa kuthibitisha baba yako alioa bikra, hukuwepo kuthibitisha alivoitoa. Unaongea ujingaujinga tu utadhania mama yako mkeo. Ulitaka akuambie mama yako malaya? Hakuwa na bikra? Is it possible? Mjinga wewe
2. Umeshindwa kujibu 👇
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake
Weka research kuthibitisha madai yako
Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako
Usiwe mjinga.......
Tunataka kujifunza facts tuelimike
3. Nataka nikuthibitshie kutoka maandiko
A. Binadamu hatabiriki hata umpe nini
I. Adamu na Eva walipewa kila kitu bado walimuasi mungu
II. Mfalme Daudi alipewa mamlaka yote, bado akamtamani mke wa askari wake kazini
III. Mwenzako Bashite, alipendwa, japo hakuwa na vyeti alipewa makubwa.... hakuridhila
Mwanamke kama ilivo kwa mwanaume
Utulivu, busara, adabu na hekima ni
1. Taabia za mtu binafsi wala sio mfano
2. Hulka ya mtu binafsi
3. Hisia za mtu binafsi
4. Tamaaa
Mpe chochote, kama silka na hulka yake niuzinifu atafanya tu. Awe bikra, uoe nini sijuwi . Hivyo hivyo kwa wanaume malaya hata mke akufanyie utarota kwenda kwa malaya wenzako.
Binadamu kaumbwa na utashi na akili
Hivyo kujipa moyo hukatazwi lakini binadamu yeyote huongozwa na uumbaji wa kibaolojia unaotawala hulka na hisia zake katika maisha yake ya kila siku mpaka kifo.
Nakutakia ubishani mwema usio na hoja wala majibu stahiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walimwenguHuyu atakuwa MKE wake Ni MBAYA wa sura hata chura hana
Kutoa mbwa bandani ni neno Kali.Kumekucha
Enwei
Kuna Dada aliolewa na bikira anatombwa ovyo mpaka na vitoto viendesha boda
Oooh..sawaKwa amani ya moyo wa mwanaume, kijana namshauri aoe bikra.
Wapi hujaelewa?
Bikra kwishnei, mambo ya kukata utepe yana utamu wake ukute ule ute ute aisehhhhhhh hata ikihonga mali unahonga kiroho safiKama waolewaji ni wenye bikra tu..acha nizidi kucheza kwaito kwa wenzangu
Oa bikra uwe na amani Kama mleta mada hapoBikra kwishnei, mambo ya kukata utepe yana utamu wake ukute ule ute ute aisehhhhhhh hata ikihonga mali unahonga kiroho safi
Nilitaka kuku prove wrong
Nimethibitisha wewe ni kilaza tu, huna idea yoyote ila mlopokaji tu
Kushindwa kutoa majibu sahihi kwa evidence na specific reference
1. Umeshindwa kuthibitisha baba yako alioa bikra, hukuwepo kuthibitisha alivoitoa. Unaongea ujingaujinga tu utadhania mama yako mkeo. Ulitaka akuambie mama yako malaya? Hakuwa na bikra? Is it possible? Mjinga wewe
2. Umeshindwa kujibu 👇
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake
Weka research kuthibitisha madai yako
Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako
Usiwe mjinga.......
Tunataka kujifunza facts tuelimike
3. Nataka nikuthibitshie kutoka maandiko
A. Binadamu hatabiriki hata umpe nini
I. Adamu na Eva walipewa kila kitu bado walimuasi mungu
II. Mfalme Daudi alipewa mamlaka yote, bado akamtamani mke wa askari wake kazini
III. Mwenzako Bashite, alipendwa, japo hakuwa na vyeti alipewa makubwa.... hakuridhika
Mwanamke kama ilivo kwa mwanaume
Utulivu, busara, adabu na hekima ni
1. Taabia za mtu binafsi wala sio mfanano
2. Hulka ya mtu binafsi
3. Hisia za mtu binafsi
4. Tamaaa
Mpe chochote, kama silka na hulka yake niuzinifu atafanya tu. Awe bikra, uoe nini sijuwi . Hivyo hivyo kwa wanaume malaya hata mke akufanyie utatoka kwenda kwa malaya wenzako.
Binadamu kaumbwa na utashi na akili
Hivyo kujipa moyo hukatazwi lakini binadamu yeyote huongozwa na uumbaji wa kibaolojia unaotawala hulka na hisia zake katika maisha yake ya kila siku mpaka kifo.
Nakutakia ubishani mwema usio na hoja wala majibu stahiki.
Wapo sasa wanapatikanika kwa shida kama madiniOa bikra uwe na amani Kama mleta mada hapo
Mnatukatisha tamaa sisi ambao tunataka kuoa ujue😊😊 unampima tu bae wako kama anayo hiyo bikra au hana, unamwuliza "ww mara yako ya mwisho kudo ilikuwa lini" anakujb mwaka na nusu😄😄😄😄😄, unajua tu hapa TAYARIIIIIIII, sasa itakuwajeeee????
Ko, tusioe?
Mkuu hebu chukua tano [emoji109]Siwezi oa wala kuzaa na mwanamke asiye na bikra, siwezi watia watoto wangu unajisi kwa upuuzi.
Soma hii
Mambo ya walawi 21:
13. Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14. Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Naoa mke wangu sio Mke wa Jamhuri ya mafisi
Mke ili awe wako lazima umkute na kumtoa bikra wewe mwenyewe
Lakini haya mambo ya Jamhuri ya mafisi nimewaachia fisi wenyewe
Siwezi oa wala kuzaa na mwanamke asiye na bikra, siwezi watia watoto wangu unajisi kwa upuuzi.
Soma hii
Mambo ya walawi 21:
13. Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14. Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Naoa mke wangu sio Mke wa Jamhuri ya mafisi
Mke ili awe wako lazima umkute na kumtoa bikra wewe mwenyewe
Lakini haya mambo ya Jamhuri ya mafisi nimewaachia fisi wenyewe
Nenda kijijini kwenu katafuteWapo sasa wanapatikanika kwa shida kama madini
😂😂😂😂😂😂 Dah!Wewe mwenyewe najisi. Hujuwi
Unajisi wake hapa 👇😂😂😂😂😂😂 Dah!