Elijah O
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,118
- 916
Bikra zipo kibao
Unachokitafuta ndio unachokipata, unachokiona akilini ndicho utakachokiona machoni.
Umenikumbusha Masemo wa Bob Proctor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra zipo kibao
Unachokitafuta ndio unachokipata, unachokiona akilini ndicho utakachokiona machoni.
Sio lazima kila mtu afikiri na kuamini kama unavyofikiri wewe! Pia sio wanawake wote wana tabia zinazofanana, unajidanganya sana kujiona ni mjuaji wa kila kitu kuna mambo mengine kama haya ya wanawake mabikira sio lazima uowe bikira ndio ujue tabia zao maana hata mitaani tunaishi na watu waliooa mabikira na tumeziona tabia zao!Uliwahi kuoa bikra Mkuu?
Tuulize sisi tuliooa bikra ndio tutakusimulia.
Nyie ndio wale masikini wanaosema ukipata pesa hutakuwa na amani, sijui tajiri halali usingizi wa amani. 😀 😀 😀 Ukiulizwa uliwahi kuwa tajiri unajibu hapana, wewe kama sio mwehu ni nani? Masikini bhana.
Ndio kama wasiowahi kuoa wanawake bikra, wanaongea mambo ambayo hawayajui
Uliwahi kuoa bikra Mkuu?
Tuulize sisi tuliooa bikra ndio tutakusimulia.
Nyie ndio wale masikini wanaosema ukipata pesa hutakuwa na amani, sijui tajiri halali usingizi wa amani. 😀 😀 😀 Ukiulizwa uliwahi kuwa tajiri unajibu hapana, wewe kama sio mwehu ni nani? Masikini bhana.
Ndio kama wasiowahi kuoa wanawake bikra, wanaongea mambo ambayo hawayajui
Unawatongoza ila hulali nao..... au kuna research unaandika. Naona kama upo kwenye hatari.Siwezi oa mwanamke asiye na bikra hata niachane na huyu niliyenaye
Siwezi lala na mke wa mtu hata iweje
Sio lazima kila mtu afikiri na kuamini kama unavyofikiri wewe! Pia sio wanawake wote wana tabia zinazofanana, unajidanganya sana kujiona ni mjuaji wa kila kitu kuna mambo mengine kama haya ya wanawake mabikira sio lazima uowe bikira ndio ujue tabia zao maana hata mitaani tunaishi na watu waliooa mabikira na tumeziona tabia zao!
Kwanza nina uhakika hata huyo uliyeoa kama ana tabia nzuriwala sio bikira ila tu alilelewa vizuri! Wanaume wa aina yako ambao wanahusudu mambo madogo kama hayo ndo huwa mazwazwa kwenye ndoa zao unakuta hadi anapika na kufua nguo za mkewe kisa ni bikira au ni mrembo! Alafu hapohapo eti bado unajiona wewe sio lofa!
Unawatongoza ila hulali nao..... au kuna research unaandika. Naona kama upo kwenye hatari.
Oh sio paka mweusi?Wakuu kwema!
Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja.
Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake za watu sio wasumbufu ukishaingia naye kwenye mahusiano, ingawaje sijawahi kulala na mke wa mtu kutokana na miiko yangu binafsi.
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa ya Mke wako/wake zetu kuchepuka katika zama hizi ni kwa sababu waliolewa wakiwa hawana bikra. Tayari walishaingia kwenye umalaya.
Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa hana bikra ambaye hatachepuka, ni lazima achepuke tuu.
Lakini ukioa mwanamke mwenye bikra uwezekano wa kutochepuka ni mkubwa zaidi labda usababishe wewe mwenyewe ndio atachepuka.
Lakini hawa wasio na bikra ni costant, umhudumie, umridhishe usimridhishe, uwe na pesa usiwe na pesa, uwe HB au usiwe HB ni lazima achepuke, Yaani huna namna ya kuzuia hilo.
Mwanamke asiye na bikra haoni hatia moyoni mwake pindi anapochepuka, lakini mwanamke aliyeolewa bikra kabla hajachepuka huwa na uoga mwingi mno kwani ndio anajifunza. Kama ilivyo jambo lolote ukilianza huwaa gumu ndivyo kwa mwanamke mwenye aliyeolewa akiwa bikra huona ugumu sana kuchepuka.
Lakini hawa maharage ya Mbeya atachepuka na wala haoni shida.
Kijana, kwa usalama wa ndoa yako, Usithubutu kuoa mwanamke asiye na bikra, utanishukuru baadaye.
Kwa sisi tuliooa tupambane na hali zetu hasa waliooa hao maharage ya mbeya.
Jokajeusi
Kwa hiyo mkuu una shauri kabla ya kuoa uonje kwanza uone kama ana bikra au la??Sikuwepo lakini yeye mthibitishaji alikuwepo
Kama mimi nitakavyo waambia watoto wangu wasioe malaya wasio na bikra kwani nimeoa mama yao akiwa bikra kabisa.
Ushauri huu kila mara nawashauri na vijana wengine hata mshikaji wako akija nitamuambia asikuoe wewe kama hakukuta yaliyomo hayakuwamo, hakukuta bikra
Kwanini lisiwe dogo wakati unaitoboa mara moja tu inaondoka! Kwani huwa inakuwepo maishani yote?? Hapo umejidharau mwenyewe tuliowahi kutoboa wanawake mabikira tunafahamu ni show moja tu panabaki empty!Wewe kweli umevurugwa, uliposema bikra ni jambo dogo ndio nikakudharau hapo hapo.
Kwanini lisiwe dogo wakati unaitoboa mara moja tu inaondoka! Kwani huwa inakuwepo maishani yote?? Hapo umejidharau mwenyewe tuliowahi kutoboa wanawake mabikira tunafahamu ni show moja tu panabaki empty!
Kwa hiyo mkuu una shauri kabla ya kuoa uonje kwanza uone kama ana bikra au la??
Wewe lazima utakufa masikini ! Unahangaikaje na thamani ya kiungo kilicho kwa binadamu mwingine? Kama unaona bikira zina thamani sana nunua uweke kwako!Wewe ndio hujui thamani ya bikra na ndio maana umeharibu watoto wa watu, nafikiri hukujua ulichokifanya kwa upumbavu wako.
Jambo la mara moja ndio huleta athari maishani.
Kama lingekuwa jambo la kawaida basi ungekuwa ukifanya linarudi kama vile unavyokata kucha au nywele, lakini kwa ujuha wako hujui kwa nini ikitoka imetoka.
Ni sawa na mtu aliyetoa jicho la mtu alafu akasema ni kawaida kwa sababu jicho hilo halijarudi, wewe ni mwehu
Hiyo ni akili kubwa, ila sasa kwann unawatongoza? Ukikamatwa utaeleweka kweli? Ni sawa na muislamu kila siku awe anaenda dukani kununua dawa ya kutibu nguruwe na chakula cha nguruwe ila hana hao nguruwe, wenzake watamuelewa kweli?Mkuu wapo wanaonijua humu, msimamo wangu sio wa nchi hii.
Yaani nilale na mke wa mtu wakati kuna malaya kibao wanauza na hawajaolewa.
Wanachohitaji ni pesa, kodi na kisimu cha Iphone 11.
Siwezi lala na mke wa mtu wakati wapo walioamua kuuza utu wao kwa Iphone 6
We bikra yako ipo, ndoa ipo njianiKumekucha
Enwei
Kuna Dada aliolewa na bikira anatombwa ovyo mpaka na vitoto viendesha boda
Wewe lazima utakufa masikini ! Unahangaikaje na thamani ya kiungo kilicho kwa binadamu mwingine? Kama unaona bikira zina thamani sana nunua uweke kwako!
Hiyo ni akili kubwa, ila sasa kwann unawatongoza? Ukikamatwa utaeleweka kweli? Ni sawa na muislamu kila siku awe anaenda dukani kununua dawa ya kutibu nguruwe na chakula cha nguruwe ila hana hao nguruwe, wenzake watamuelewa kweli?
Kama waolewaji ni wenye bikra tu..acha nizidi kucheza kwaito kwa wenzanguWe bikra yako ipo, ndoa ipo njiani
😀😀😀
Sio kila jambo linahitaji research wewe, mbona unaakili za kuku
Hii mada imewapiga wengi lakini wewe ndio umeamua uwe case study humu, na watu wanathibitisha nikisemacho