Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mwanaharakati wa Bikra JF.
 
They says sometimes bikra inaweza hata toka kulingana na shughur za Kila siku za binti Mfano girl kufanya kazi ngumu, kuendesha baiskeli n.k... au hizo ndo zile demu amakwambia yeye ni bikra lakn wakat wa kumkula damu hazitoki?
 
Inahitaji moyo Mkuu
Mkuu najua. Ila natamani nifungue kampuni liwe linazunguka mashuleni kuzungumza na watoto wa kike kuhusu umhimu wa bikra kama ambavyo wengine huzunguka kuhimiza uvaaji wa ped, ili watoto wapate elimu ambayo wazazi wengi wanaificha. Ukweli natamani watoto wetu warudi kwenye historia ya nyuma. Na ndo mana ck hiz kuna kilio kikubwa cha vibamia, wamesahau wamechezea mechi nyingi uwanja wao, zingne hadi wachezaji wa kulipwa kama TANGO, wamecheza. Huo uwanja hauwez kuwa salama ukitaka mchezaji mmoja local. Lazima ulalamike kibamia, ndoa hazina furaha kisa kuridhishana kwenye mechi za ligi za FA na Ligu kuu. Zaidi wanawake wanavunja ndoa zao makusudi ali wakakutane na akina TANGo😁 hatuwezi kufika hivi. Elimu n mhimu kwa vijana wetu. Dunia imekaa tenge, ukikaa vibaya inakumwaga jamani daaa. Nina mengi bc tu Joka jeusi.
 
Wewe cheka hapo, ilikuwa typing error, namba tano na sita zimekaribana kwenye Pc
Hahaha nilivyomtaja Peter Crouch ilitakiwa ushtuke.

Kama haumjui Peter Crouch hapa ni mawili,
Ama wewe bado una umri mdogo au ni mwanamke.

A tallest footballer ndiyo huyo ana 6.4 ft so kuonyesha haumjui kwangu inaconclude hivyo.
 
They says sometimes bikra inaweza hata toka kulingana na shughur za Kila siku za binti Mfano girl kufanya kazi ngumu, kuendesha baiskeli n.k... au hizo ndo zile demu amakwambia yeye ni bikra lakn wakat wa kumkula damu hazitoki?

Unadanganywa kama mtoto Mkuu, kwenye mapenzi una miaka mingapi asee
 
Hahaha nilivyomtaja Peter Crouch ilitakiwa ushtuke.

Kama haumjui Peter Crouch hapa ni mawili,
Ama wewe bado una umri mdogo au ni mwanamke.

A tallest footballer ndiyo huyo ana 6.4 ft so kuonyesha haumjui kwangu inaconclude hivyo.

Namjua huyo mtu,
Ila mke wangu kwa wanawake wengi wa Tz ni mrefu, hiyo 5.6. Vitanzania ni vifupi kama vibwengo
 
Good idea
Anzisha NGO inayohusika na masuala ya Bikra. Hakika utajipatia umaarufu mkubwa na kupingwa hakuepukiki.
Usiogope kuongea maneno magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…