Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #3,041
Waliobakwa nao ni wapumbavu?,,hapo kwenye pombe namaanisha kunyweshwa kwa kuchanganyiwa au kwa kutokujua au kuwekea dawa za usingiz kwa namna flan
Huwezi nyweshwa dawa kama unajielewa.
Zamani watoto walishaambiwa wasiingie nyumba za wanaume, wasiende bar au club, wasiongee na watu wasiowajua, hakuna ukaribu baina ya binti na kijana kama sio ndugu.
Analishwaje hayo madude?