Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Alafu ati huyo unamuita mke wako, na watoto wanamsalimia shikamoo mama😀😀😀
Kwakwel kupanga ni kuchagua na fungu hilo sijawah kulielewa.Nikiwa chuo kuna manzi tulikoleana sana ila shida ikawa pombe.Kuna siku nimefika kwake aisee nikajua niko kwenye Depo ya Castle lite..chupa zimezagaa kama wale waokota makopo ..yan dah.Nilimpend sana ila ..
 
Umemsifia weee ukivyosema mchaga graph zote zimeshuka mate🙄

Huyu mke wangu kwa Tanzania hapa wazuri kama yeye hawafiki kumi.
Urefu 5.6fts
Maji ya kunde mpauko
Tako nyama kilo 100
Macho meusi, makubwa kiasi yenye nyusi nyeusi tii
Sauti tamu kama kinubi
Midomo minene kiasi
Chuchu saa sita licha ya kuzaa mtoto
Kiuno 34 nyonga 48

Sasa unaweza kuchora hiyo picha
 
Kuturingishia kuwa umeoa bikra haitoi uhalisia kuwa hata bikra wana tabia zilizojificha ambazo huzijui,kuna sehemu umemkebei Mungu ila omba sanaa tena sanaaa mambo yasijebadilika
 
Back
Top Bottom