Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Waliobakwa nao ni wapumbavu?,,hapo kwenye pombe namaanisha kunyweshwa kwa kuchanganyiwa au kwa kutokujua au kuwekea dawa za usingiz kwa namna flan

Huwezi nyweshwa dawa kama unajielewa.

Zamani watoto walishaambiwa wasiingie nyumba za wanaume, wasiende bar au club, wasiongee na watu wasiowajua, hakuna ukaribu baina ya binti na kijana kama sio ndugu.
Analishwaje hayo madude?
 
Kimoyo moyo umesema huyu mshenzi vipi mbona anataka kutuharibia KATIBA [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa waume
zetu wakiona hz post watuache tutakua wagen wa nan.... Haon huruma hata kwa dada zake ambao hawajaolewa kwa campaign hyo Anayopga..... Yeye kashaoa so na wanaume wengne wameoa, kama yy ana enjoy Sana kulko
wengne aenjoy tu kelele za nn. Atupe break walau this week[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi nyweshwa dawa kama unajielewa.

Zamani watoto walishaambiwa wasiingie nyumba za wanaume, wasiende bar au club, wasiongee na watu wasiowajua, hakuna ukaribu baina ya binti na kijana kama sio ndugu.
Analishwaje hayo madude?
Kubakwa je?
 
Kuturingishia kuwa umeoa bikra haitoi uhalisia kuwa hata bikra wana tabia zilizojificha ambazo huzijui,kuna sehemu umemkebei Mungu ila omba sanaa tena sanaaa mambo yasijebadilika

Huyo ninayemuomba ndiye anayenituma kusema haya.
Mungu haniamulii maisha wewe
 
Unataka ndoa ngapi, umeshaoa basi tulia furahia... ikilia sana hupasuka!

Ikipasuka nafuma upya.
Mwanaume hafungwi na muda wala kitu chochote.

Nimeshamwambia wife, siku akitaka kujifunza umalaya, kama atafanya umalaya kwa wiki nisijue basi namsamehe kwa kuwa kanizidi akili, lakini kama nitajua ndani ya siku saba nitamfukuza kama nilivyomuapia yeye, wazazi wake, Mungu wangu na nafsi yangu
 
Rudi tena field, na pitia machapisho ya wataalamu wengine waliofanya kwa Miaka mingi na kwenye jamii nyingi zaidi.
 
ule uzi wako wa bikra 3 nilikuwa leo unakula ban..lakin ulikuwa uzi mwanana sana hata MELO ameukubali.hehehehe

Kwa nini nile Ban?

Hili ni jukwaa huru, kusema ukweli ndio ule ban?
 
Huyu mke wangu kwa Tanzania hapa wazuri kama yeye hawafiki kumi.
Urefu 6.5fts
Maji ya kunde mpauko
Tako nyama kilo 100
Macho meusi, makubwa kiasi yenye nyusi nyeusi tii
Sauti tamu kama kinubi
Midomo minene kiasi
Chuchu saa sita licha ya kuzaa mtoto
Kiuno 34 nyonga 48

Sasa unaweza kuchora hiyo picha
Bro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?

Kama unamjua Peter Crouch lakini maana yawezekana hata mpira haufuatilii.

Sasa kama mkeo ni mrefu kuliko Peter Crouch unataka kusema wewe umemzidi urefu au wewe ni andunje?

Kwa huo urefu ulioandika. Madai yako yote naona yana mashaka.
 
Back
Top Bottom