Wapingaji n 80% nauhakika. Na wote wanaopinga n -bikraπ€£π€£π€£π€£Good idea
Anzisha NGO inayohusika na masuala ya Bikra. Hakika utajipatia umaarufu mkubwa na kupingwa hakuepukiki.
Usiogope kuongea maneno magumu
Hatujakataa na tushamuelewa ila kutokua na kingine kila siku habari ni hiyo hiyo inatia shaka uelewa wake. Anakua hana tofauti na Al shabab. Ubongo ushakua brain washed umejazwa kujilipua tu in the name of Jihad wakiamini wanafanya kazi ya Mungu kumbe hamna kitu. Ndio sawa na huyu kaka.Anazipenda
Unayo?Ila bikra ya mkundu ndo iko sensitive sana...kuliko zote hizo....poteza zingine zote lakini sio ya mkwiyo....[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama 'hujatoboa' kiuchumi basi bado bikira!
Hatujakataa na tushamuelewa ila kutokua na kingine kila siku habari ni hiyo hiyo inatia shaka uelewa wake. Anakua hana tofauti na Al shabab. Ubongo ushakua brain washed umejazwa kujilipua tu in the name of Jihad wakiamini wanafanya kazi ya Mungu kumbe hamna kitu. Ndio sawa na huyu kaka.
Basi percent kubwa ya bikra zisizo toka damu ni za uongo... Maana mtu anaweza act anaumia... Au Kuna njia ya kujua mtu anaongopa anaumia?Sio lazima. Ila kuumia ndio lazima...
Mimi bikra bila damu huwa naonaga usanii sana mkuuSio lazima Mkuu
Na sio kila damu ikitoka basi umetoa bikra, be care
Ahhh joka unatuharbia kaka achaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu kwema!
Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja.
Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake za watu sio wasumbufu ukishaingia naye kwenye mahusiano, ingawaje sijawahi kulala na mke wa mtu kutokana na miiko yangu binafsi.
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa ya Mke wako/wake zetu kuchepuka katika zama hizi ni kwa sababu waliolewa wakiwa hawana bikra. Tayari walishaingia kwenye umalaya.
Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa hana bikra ambaye hatachepuka, ni lazima achepuke tuu.
Lakini ukioa mwanamke mwenye bikra uwezekano wa kutochepuka ni mkubwa zaidi labda usababishe wewe mwenyewe ndio atachepuka.
Lakini hawa wasio na bikra ni costant, umhudumie, umridhishe usimridhishe, uwe na pesa usiwe na pesa, uwe HB au usiwe HB ni lazima achepuke, Yaani huna namna ya kuzuia hilo.
Mwanamke asiye na bikra haoni hatia moyoni mwake pindi anapochepuka, lakini mwanamke aliyeolewa bikra kabla hajachepuka huwa na uoga mwingi mno kwani ndio anajifunza. Kama ilivyo jambo lolote ukilianza huwaa gumu ndivyo kwa mwanamke mwenye aliyeolewa akiwa bikra huona ugumu sana kuchepuka.
Lakini hawa maharage ya Mbeya atachepuka na wala haoni shida.
Kijana, kwa usalama wa ndoa yako, Usithubutu kuoa mwanamke asiye na bikra, utanishukuru baadaye.
Kwa sisi tuliooa tupambane na hali zetu hasa waliooa hao maharage ya mbeya.
Kidokezo;
Mambo ya walawi 21
13Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.β
Jokajeusi
Tupitiane mbali kaka. Usiniquote pasi kuwa na msingi.Mkuu mimi nasema kila siku kwa sababu kila siku kuna watu wapya humu JF,
Ndio maana kila siku nasema na nitaendelea kusema hata kama inakuuma
Hili wazo ni nzuri anza na page Facebook kisha anza movement
Una'fake vipi maumivu? Hao wa kutoka damu unakuta anaingiliwa na mguu wa mtoto, hajalainika ipasavyo we unasokomeza tuBasi percent kubwa ya bikra zisizo toka damu ni za uongo... Maana mtu anaweza act anaumia... Au Kuna njia ya kujua mtu anaongopa anaumia?
Ahhh joka unatuharbia kaka achaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Makofi tafadhali kwa dia future ππSema what, don't worry, I'm too matured to get brainwashed.
Sawa Al shababWewe umechanganyikiwa kweli, yaani uzi wangu mwenyewe alafu unipangie wa kum-quote?
Mimi sipangiwi na wanawake, sawa?
I'm humbled, I'm humbled you know πππππMakofi tafadhali kwa dia future ππ