Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Teh teh sasa mbona hueleweki? Umesema mwenyewe kuwa bikira ina ishara halafu unasema kuna bikira ya ubongo haya tueleze hiyo bikira ya ubongo ishara yake ni gani!
 
Huo ni upande mmoja wa shilingi! Na yeye atajuaje wewe hujawahi kujaribisha mahali?

Yeye alishaniambia kuwa akinikuta na mwanamke ataniachaa, nikamwambia; hivyo ndivyo anavyotakiwa kuwa mke wangu
 
na maisha yako yanaendaje baada ya kupata mke wa ndoto zako,je umeweza kuzishinda tamaa za mwili na kuwa mwaminifu kwenye ndoa au bado unaendelea na uchakataji?

Mimi ninachokisema huwa ndio ninachokifanya, nimeshasema siwezi toka ndani ya ndoa mwaka wa nane sasa
 
Kuna dogo mmoja almanusra aache mke kisa hakumkuta na bikra. Lakini tukamshauri ya kuwa maisha hayaishii katika BIKRA, atulie ajenge familia. Alitusikiliza na ametulia sasa.

Nina nukta kadhaa za kuwasilisha mintarafu jambo hili :

1. Watoto wa kike ambao walipoteza bikra zao kwa ujuaji( hapa nawatoa wale wote walio tenzwa nguvu) na kufurahia jambo hilo wakae wajue ya kuwa hawana hoja hata watembelee kichwa ya kudogosha BIKRA, wanachotakiwa wajue tu ya kuwa bikra ni hazina ambayo binti huzaliwa nayo, wajiulize kwanini wanazaliwa na hilo kufuli na mwisho wawasihi watoto zao kama wamejaaliwa juu ya kutunza zawadi hii adhimu.

2. Suala la upya ni kwa wote, yaani muoaji na muolewaji wote wakioana wakiwa wapya huwa nzuri sana. Nawauliza swali waungwana nani asiye penda kuanzisha jambo ? Jibu sote tuna penda kuwa wa kwanza.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia...
 
Hayo maneno uliyosema umewaambia wakwe zako ...Mmmnh...Hapo ndipo chai ilipoanzia.
 
Back
Top Bottom