Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Mwanaume kamili hawezi shindwa kujua kitu natural na artificial hilo tuu ujue.

Kwani nywele si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi tofautisha?
Kucha si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi kutofautisha?
Meno, kope, n.k
 
6.5FT TALL!!! [emoji276]

Mwanamke mwenye urefu wa futi 6.5 kwa TZ ni mrefu sana, na ni ajabu sana wala hawezi kuwa kundi la warembo... ila kwenye FANTASY za Joka ni sawa tu!

Tumia akili kwenye utunzi, hapa husimulii wote watoto wenzio.
Kasema 5.6ft sio 6.5ft

Japo bado kwa urefu huo huyo sio wife material huyo ni building material
 
Niwe mtu mzima mara ngapi? Mie nilishakuwa zilipendwa tangu wewe ukiwa kwenye sarawili za baba yako!

Ndivyo wasioolewa na bikra wazungumzavyo hivyo nitakujibu vile utakavyo maharagwe ya mbeya
 
Uzi huu unawakumbusha vijana wadogo ambao hamjaoa kuwa kupanga ni kuchagua.
Sumu haionjwi



Case Study ni Muna love na Casto, Mama Tiffah na Mzee Abdul

Nikiwaambia watu waoe wanawake bikra bado naonekana mjinga, mwanamke sio kiumbe wakuonewa huruma hasa akiwa hastahili huruma hiyo.



Jokajeusi
 

Na mijitu inayoita wake zao huku haijaikuta na bikra huwa unaionaje?
 
Mwanaume kamili hawezi shindwa kujua kitu natural na artificial hilo tuu ujue.

Kwani nywele si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi tofautisha?
Kucha si zipo za asili na kutengenezwa, huwezi kutofautisha?
Meno, kope, n.k
Unaijua umeiona wapi hiyo bikira na kama unajua tofauti basi wewe pia sio bikra.Hujanijibu kama je mwanaume anatakiwa kuwa na bikra wakati anao au?
 

Jambo moja ambalo umelionyesha ni kuwa umechanganyikiwa, hilo tuu.

Wewe kama umeoa mkewa jamhuri ya mafisi lazima uwe na mtazamo huo, sio kosa lako. Pole sana.

Sisi tuliooa wake zetu wenyewe tunakuangalia unavyohaha hapo. Na bado mpaka ufe kwa presha

Mke wa jamhuri ndio yupo huru kugongwa na wana jamhuri upo sahihi, lakini sio mke mwema anayetoka kwa Mungu aliyeolewa na bikra .

Endelea kupaniki mkuu ndio namna pekee uliyobaki nayo kupunguza uchungu moyoni mwako πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Embu soma hapa maana nahisi naona naongea na mtoro wa shule
Unaijua umeiona wapi hiyo bikira na kama unajua tofauti basi wewe pia sio bikra.Hujanijibu kama je mwanaume anatakiwa kuwa na bikra wakati anao au?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sio kila jambo linahitaji research wewe, mbona unaakili za kuku

Hii mada imewapiga wengi lakini wewe ndio umeamua uwe case study humu, na watu wanathibitisha nikisemacho
Wabongo tuna maajabu sana, research tena! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
4 hiyo inanihusu mimi kabisa nilikuwa na rafiki mwaka 2016 nalinizid umr kidogo alinitegenezea mazingira mabaya kwa jamaa...kumbe walishakubaliana huko nililia sana aiseee namchukiaga mbaka leo kabisa yani
Jamaa akala tunda kishikaji
 
Hakuna kiti kama hicho aise, awe bikra asiwe bikra kama wakugongwa atagongwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…