Furaha yako...Sio lazima iwe ya wengineView attachment 1678401
...Doooh hapo.umeona nimepanik?...Mbona kama umepanic?
Kama hauna bikra ndo hauna hivyo
Na kama ni single mother nikupe pole in advance
Furaha yako...Sio lazima iwe ya wengineView attachment 1678401
Mpe bikra ya mlango wa pili huwenda akatulia 😂😂Mkuu hebu ifke Mahali tupumzshe kdogo... Sisi ni mama na dada zako. Tupe break [emoji846]
kwa maisha ya sasa ni sawa na kuwashauri wenzio waoe ng'ombe, chance ya kumpata bikra siku hizi ni nearly to nill...Usioe mwanamke asiye na bikra
kwa maisha ya sasa ni sawa na kuwashauri wenzio waoe ng'ombe, chance ya kumpata bikra siku hizi ni nearly to nill...
halafu huu ujinga wa kutaka uoe bikra wakati wewe ushatembea na wanawake 100 ndio sababu ndoa hazidumu siku hizi...
kila kitu huanza na imani, ukiamini kuwa single mother hakufai toka moyoni basi daima na wakati wote hawezi kukufaa hata kama atakupigania kwa jasho na damu. KUNA WATU WANAZEEKA NA HAO HAO SINGLE MOTHER,
Kwamba mwana kawekeza kwenye kiwanda cha bikra
MaudhuiUnafanana?
Kama unaamini hakuna anayeweza kuruka na mkeo kisa ulimkuta bikra share contacts PM.
Watakaotukana watakuwa na matatizo ya ubongo au utoto unawasumbua kwa vitu vya kufikirika.SUALA LA BIKRA KWA MWANAMKE NI SUALA MTAMBUKA, ukitaka uoge matusi na komenti nyingi za wanawake bc zungumzia hbr hiz za bikra😆ikiwezekana weka msisitizo kuwa WANAUME WANATAKIWA KUOA WANAWAKE BIKRA TU NA SI VINGINEVYO, au wambie JAMII ZETU ZILIPE MAHARI KWA MWANAMKE ALIYEKUTWA NA BIKRA TU. pia MAHARI ZIPUNGUZWE KWA MWANAKE AMBAYE HAJAKUTWA NA BIKRA🤣 utatamani ufute hizo nyuzi ili kuepusha shari ya matusi mengi balaaaaa
Including your mom,grandma,sisters all ni Kama vibwengo tu[emoji1]Namjua huyo mtu,
Ila mke wangu kwa wanawake wengi wa Tz ni mrefu, hiyo 5.6. Vitanzania ni vifupi kama vibwengo
Haya....kila mtu afanya linalompa rahaHakuna kitu kizuri Kama sifa au kusifiwa.
Ujue Mungu anauwezo mkubwa Sana tena sana, lakini Kama asingea amua ku create viumbe Nani angejua ukuu na uweza wa Mungu?