Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wakuu habari!

Jambo hili nimelivalia njuga na naona matunda yake yanaanza kuonekana, nafikiri nikiendelea hivi kwa mfululizo wa miaka mitano kwa kiasi kikubwa jamii itarudi kwenye mstari.

Moja ya matokeo chanya katika nyuzi zangu za ubikra ni kuwa wale walioolewa bila ya bikra na wale ambao bado hawajaolewa na hawana bikra wanapiga kelele wakitapa tapa, wengi wamekuja Pm wakiniomba niache. Ujumbe wangu ni huu; Asiyefunzwa na Mama yake hufunzwa na ulimwengu. Mandhali Jokajeusi nipo mada hizi zitaendelea mpaka nitakapoondoka duniani. Hivyo wale wanaaoumia nawapa pole kwa sababu huu ni mwanzo tuu.

Madhara ya Makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra, Kijana usiyeoa soma kwa umakini ukitumia akili zaidi ya hisia zako.

1. MTALAKA HATONGOZWI
Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra kaa ukijua kabisa mtalaka hatongozwi, popote pale duniani. Pia kumbuka awali ni awali hakuna awali mbovu. Pia kumbuka, Mavi ya kale hayanuki. Hivyo mwanamke anapokuwa tayari alishakuwa kwenye mahusiano na wanaume huko nyuma ya kimapenzi kisha wakaachana kwa sababu abc kisha wewe ukampata akakuambia ameachana na ma-ex wake jua kuwa anakudanganya, kuachana labda kama wamekufa lakini kama wapo hai hesabu umeumia ndugu yangu.
Nina ushahidi usio na shaka kuhusu jambo hili na hata humu JF kila siku tunasikia malalamiko ya wanawake kurudiana na ma-ex wao au kufumaniwa nao. Hiyo ni kawaida sana, na mara zote mimi siwalaumu wanawake kwa kufanya hivyo kwani hiyo ndio asili. Mtalaka hatongozwi.

Usipokubali maneno yangu na ukashindwa kujifunza kwa yanayotokea kwa wenzako basi subiri wewe ndio uwe funzo na mfano kama walivyo wabishi wengine.

2. KUBAMBIKIZIWA MIMBA
Wanawake wengi wasio na bikra wamewaingiza wanaume katika magonjwa makuu kwa kuwabambikizia watoto wasio wao. Hata ule utafiti usemao kuwa 60% ya wanaume wanalea watoto wasio wao unalandana(correlation) na idadi ya wanaume waliooa wanawake wasio na bikra.
Kuna uwezekano wa kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba changa ikiwa tuu ulimkuta hana bikra, mifano ipo ya kutosha hata huku mitaani achilia mbali watu maarufu kama vile Muna Love na Casto Dickson Vs Baba patrick, Mama Diamond na Babab Ricardo Vs Mzee Abdul, na wanawake kukubambikizia mtoto hawaoni shida kwa sababu tayari wameshakuona wewe ni maandazi, tayari umejidharau, yaani uache kuoa mtoto mbichi uchukue used alafu wakuheshimu. Hiyo hakuna mwanamke wa hivyo.

Usijedhani ukimuoa mwanamke asiye na bikra na single mother ataona umemuonea huruma kwa kumsitiri, yeye atakachojua kuwa uzuri wake ndio sababu umedata naye, hivyo suala la kuonewa huruma hilo sahau, na ndio maana wao wakifanya matukio yao kwako wala hawatakujali kuwa uliwastiri. Nafikiri mifano mnayo hata huko mitaani.
Hivyo kuoa mwanamke asiye na bikra kuna uwezekano mkubwa wa kubambikiziwa mtoto achilia mbali kuchetiwa ambapo ni costant

3. WATOTO KUWA NA TABIA ZA AJABU AJABU
Ukioa mwanamke asiye na bikra na malaya, sio ajabu watoto wako wakawa na vitabia vya ajabu ajabu yaani mchanganyiko kulingana na idadi ya wanaume waliolala na mke wako. Angalia wanawake wengi ambao ni malaya kisha angalia tabia za watoto waliowazaa. Watoto wamenajisiwa. Mtoto akipimwa DNA ni wakwako lakini tabia zipo mbali sana na wewe na ukoo wenu na ukoo wa mama yake. Hii ni kutokana na kuwa mwanamke anapolala na wanaume tofauti tofauti hujinajisi na kujipa maroho machafu kwani tendo lenyewe ni chafu.
Kama unabisha jaribu sumu kwa kuonja. Waliooa wananielewa zaidi kwani wanayaona hayo kwa macho yao.

4. WATOTO KUUNGANA NA MAMA YAO.
Ukioa mwanamke asiye na bikra ni rahisi sana kwa watoto kumsikiliza Mama kuliko kukusikiliza wewe Baba, au ni rahisi sana kwa watoto wako kumsikiiza Baba mwingine kuliko kukusikiliza wewe. Hii ni kutokana na kuwa tayari wewe sio namba moja, wewe sio kichwa tena bali mkia. Unapoambiwa Baba ni kichwa cha nyumba wanamaanisha Namba moja, yaani Baba ndio mwenye maamuzi, mwanzo, na ndio maana popote pale kichwa ndio hutangulia, sasa kama kwa mkeo hukutangulia kumjua unafikiri utakuwaje kichwa kwake au namba moja kwake. Wakati mwingine wapo wanawake wachache wema wanaojitahidi kuwa wema licha ya kuolewa bila ya bikra lakini bado nature inawavuta kufanya mabaya.

Zamani Baba alikuwa ndio nguzo ya familia kwa sababu nyingi mno, watoto walikuwa wanamsikiliza Baba, hii ni kutokana na kuwa wamama wengi waliolewa wakiwa na bikra. Lakini tangu wanawake waanze kuolewa bila bikra siku hizi Baba sio lolote tena, na ndio maana ongezeko la watoto wasemao nani kama Mama ni kubwa, na sababu nimeshaieleza.
Kama unabisha jaribu sumu uone.
Baba kama unataka heshima sikiliza ninachokuambia, ukijifanya unajua na unaheshimiwa kisa sasa unanguvu subiri miaka 60 huko utakumbuka maneno ya Jokajeusi.

5. KUOA MAMA WA WAFU
Kuoa mwanamke asiye na bikra kunaweza kupelekea kuoa mama wa wafu, unaoa mwanamke aliyetoa mimba nyingi nawe huwezi kulijua hilo na huna uhakika, Lakini ukioa mwanamke bikra unaoa mke unayejua ni msafi na aliyejitunza. Tayari unaoa mwanamke ambaye anakesi ya mauaji na laana ambayo huijui, ni bora ungekuwa unaijua hii itakusaidia kumlilia Mungu amsamehe na awasamehe, jambo moja la kuzingatia ni kuwa kuomba msamaha kwa makosa makubwa hakuombwi kwa kusema tusamehe makosa yetu, hiyo ni sala ya jumla ambayo watu huomba wakiwa kwenye halaiki, Jokajeusi nashauri, mwanamke kama umetoa mimba ni vyema umjulishe mumeo mtarajiwa ili muweke mambo sawa, sio umuingize Mwanaume wa watu kwenye mikosi na mabalaa bila ya yeye kujua.

6. MWANAMKE ASIYE NA BIKRA SIO MKEO BALI MSHIRIKA.
Kuna tofauti kubwa kati ya mke na mshirika wa maisha. Mke ni sehemu yako yaani ni ubavu wako, mshirika sio sehemu yako bali mmeamua kushirikiana katika maisha. Mke hukupenda wewe na familia yenu, naye ni sehemu ya ukoo wenu. Lakini mshirika sio sehemu ya ukoo wenu kwanza huwaza kuwapa faida wazazi wake zaidi. Siku hizi wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra na ndio maana hao washirika wao hupendelea makwao kwani sio mwili mmoja na waume zao. Mwanaume mwenye mke anaouwezo wa kumwambia mke wake kuwa asienda kwenye msiba hata wa mama yake(mama wa mke) na mke wake akamtii, lakini mwanaume aliyeoa mshirika wa maisha hana uwezo wa kumzuia mshirika wake asiende kwenye msiba wa mama yake(mama wa mshirika).
Kwa kifupi mume anakuwa anamamlaka kwa mke wake na sio kwa mshirika. Kumbuka mshirika ni mwanamke aliyeolewa bila ya bikra, na bikra aliiotoa kwa makusudi kabisa.
Mke ukishamuoa hawazi tena nyumbani alipozaliwa mpaka mume mwenyewe umkumbushe kwamba aende kusalimia, lakini mshirika kwa mwaka huenda nyumbani mara mbili mpaka mara tatu.
Hapa hoja kubwa ni kuwa huwezi mtawala mwanamke ambaye sio mkeo, mkeo lazima akusikilize kwa chochote kile Lakini ukiona mwanamke unayeishi naye hakusikilizi jua sababu ni hiyo hapo juu, hukuoa akiwa bikra.

Waliooa wananielewa, sumu aionjwi

7. UMILIKI
Ukioa mwanamke asiye na bikra, cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake mwenyewe. Watu wanasema wanawake ni wabinafsi, mimi nawaambiaga kuwa mwanamke sio mbinafsi mpaka pale atakapoolewa bila ya kuwa na bikra. Wanawake wengi walioolewa bila bikra ni wabinafsi kupitiliza. Hii ni tofauti na mwanamke aliyeolewa na bikra yake, ambaye chake ni cha wote na cha kwako ni chawote. Mkeo(aliyeolewa bikra) anajua kuwa yeye ni mali yako na kila kitu anachomiliki yeye. Mkeo yaani uliyemuoa bikra anapenda umlinde yaani umchunge kwani anajua yeye ni malkia, yeye ni wathamani, lakini mwanamke ambaye hajaolewa akiwa na bikra hapendi umchunge, umlinde wala kumfuatilia, wana msemo wao wanasema mwanamke hachungwi, msemo huo sio wa mke bali mshirika. Hata humu JF wapo na wanajijua.
Mkeo uliyemuoa bikra hata watoto atakuambia watoto wako wanasumbua, au wanashida abc, au hata ukiwaadhibu atakuambia utawaua wanao Mume wangu. Lakini ambaye hajaolewa bikra ni kawaida kusikia wakisema muache mwanangu.

8. SIRI YA MTOTO
Mwanaume ukishaoa mwanamke asiye na bikra basi jua siri ya mtoto niwa nani anaijua Huyo mshirika wako. Ndio maana siku hizi mpaka sheria zinatungwa kuwa Baba ni mlezi sio mzazi. Kwani wanawake wengi wameolewa wakiwa bikra.

Siku hizi ndoa ni ndoano kwa sababu wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra. Mpaka wengine wanaogopa na kuiona ndoa haina maana.
Lakini ndoa ni sehemu tamu,yenye raha ikiwa utaoa mwanamke mwenye bikra. Vijana ndoa ni tamu kama utapata mke wako na sio mshirika wako.

Nitaendelea kuwafunza vijana hivi hivi mpaka wenye akili watakaponielewa.

Jokajeusi
 
Wakuu Mpo!

Mwaka 2013 mwezi march tarehe kapuni ilikuwa ndio siku yangu kuu ya harusi yangu na Mke wangu kipenzi, niliyesota naye miaka mitano kwenye uchumba.

Ilikuwa sikukuu na yenye furaha kwa sababu; Nilioa mwanamke mzuri sana. Yaani wakiambiwa wanaume watoke waliooa wanawake wazuri basi nami nami nitakuwa mmoja wao. Lakini jambo la pili na kubwa ni kuwa Nilitimiza ndoto na msimamo wangu wa kuoa mwanamke mwenye bikra yake. Rafiki zangu chuoni nilikuwa nawaambia mimi kamwe siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra wakawa wanasema nisiseme hivyo kwani siwezi kujua Mungu kapanga nini, nikawa nawajibu kuwa Mungu sio anayeoa bali mimi ndiye ninayeoa. Wakasema wataona, na sasa siku ya wao kuona ilikuwa imefika. Hakika nilijivunia sana. Sababu ya tatu, mke wangu alikuwa ni ndoto ya kila mwanaume sio kwa uzuri wake tuu bali akili yake iliyochagizwa na elimu yake ya MD.

Muda wa Bwana harusi kutoa neno walau la shukrani ulifika, na hapa ndipo watu wakajua Jokajeusi ni mwendawazimu, niliongea maneno mazito sana lakini ndio ulikuwa ukweli wenyewe hata kama haukuwa unanihusu lakini ulihusu watu wanaume wenye akili timamu pekee. Nilisema;

" Mama(mkwe) kama ni kuzaa wengi wamezaa watoto wazuri kama mwanao, kama ni kusomesha wengi wamesomesha kama ulivyomsomesha mwanao. Hivyo kwangu mambo hayo ni sifa ndogo sana ambazo siwezi kuzitaja hapa kama sababu ya kukushukuru Mama yangu. Jambo moja kuu ninalokusifu Mama(mkwe) ni kumtunza binti huyu(hapa nilimuangalia mke wangu aliyekuwa kaangalia chini kwa aibu kwani alijua naenda kusema nini), sio kila mzazi amewatunza binti zake kama ulivyo wewe. Wewe ni Mama wa mfano na kuigwa. Mama(mkwe) kama nisingekuta bikra kwa binti yako ni hakika siku ya leo isingekuwepo kama Mungu aishivyo. Wala nisingekuja uchagani kutoa mahari na kujihangaisha. Lakini natangaza rasmi ndani ya Ukumbi huu mbele ya wakwe zangu, mbele za wazazi wangu, ndugu, jamaa na rafiki. Binti huyu nilimkuta akiwa msafi, akiwa kajitunza, anastahili kuvaa vazi hili la Bibi harusi, vazi jeupe kama alivyo yeye"

" Na kwa maana hiyo, binti huyu ni mke wangu kweli dunia ikishuhudia na mbingu zikitazama. Sio mke wa jamii kwani nilimkuta akiwa bikra. Nitamtunza kwa gharama kama alivyotunzwa na kuitunza bikra yake kwa ajili yangu, pengine maneno haya yakawa ya aibu miongoni mwenu lakini nimeona niyaseme tuu"
Nilimeza mate, wakati huo ukumbi mzima upo kimya, wengine wakiona nimeongea maneno yenye kuumiza wengine hasa wale ambao hawajaoa wakiniona kama mfano wao.
Nikamaliza kwa kusema;

" Mimi kama mwanaume, ambaye kwa sasa ni mume wa binti huyu(nikataja jina lake) naomba nieleze kuwa binti huyu nitaachana naye kwa sababu kuu tatu; Mosi, uchawi na ushirikina kama nitamkuta nao, pili, Kama atajifunza umalaya, na mwisho kabisa, kifo kikitutenganisha. Hivyo Mama mke siku utakayomuona binti yako karudi nyumbani usijiulize sababu ya jambo hilo, jua sababu ni moja kati ya hizo. Sina haja ya kukaa vikao yatakapofanyika makosa hayo, na ninyi kama mashuhuda katika sherehe hii maneno haya mmeyasikia kwa masikio yenu na kwa macho yenu mliniona nikisema haya. Niwashukuru wote kwa kushirikiana nami mpaka kufanikisha harusi hii. Ahsanteni sana"

Hayo ndiyo maneno ambayo niliyasema, ingawaje baadaye kama siku kumi hivi Wazazi wangu waliniambia kuwa sikuwa na sababu ya kusema mambo yale. Nikawajibu, kikao changu cha ndoa cha kwanza ndio ile harusi yangu na hicho hicho ndio kikao cha mwisho. Sitakaa kikao chochote kwa ajili ya ndoa yangu na ndio maana nikayasema yote palepale.
Wazazi wangu hawakuwa na chakusema kwani wananijua jinsi nilivyo na ndivyo walivyo nilea hivyo hivyo.

Jokajeusi
leta picha[emoji23]
 
Nadhani wakwe walijiuliza kama mimi je ulijuaje hiyo bikra wakati hata hamjafika honeymoon bado?
 
Mkuu... Huo ndo UKWELI
Chanzo Cha furaha yako...Sio lazima kiwe Cha wote.

Furaha inaletwa kwa kumcha Mungu,
Kama wanawake wangemcha Mungu kwa kutokutoa bikra zao, mada hii wangeifurahia, lakini kwa vile waliasi na kuziendekeza tamaa zao wakidanganywa na wanaume, mada hii haiwezi kuwapa furaha zaidi ya karaha.

Kujipa furaha kwenye mada kama hii wakati inakusonda ni kujifariji na kujiongopea tuu
 
Mkuu

Ni ulevi kama ulevi mwingine

Bado hajawa sober...hayupo kwenye normal state....

Siku huu ulevi unamuisha na kua na akili zake za kawaida ndio ataelewa vizuri

Huyu ni mlevi mkuu,ngoja kilevi kiishe kwanza..akili yake haipo sawa,ipo under influence ya kilevi

Ulevi wa bikra ni bora zaidi kuliko ulevi wa uchafu.

Pengine umeanza kusoma nyuzi zangu jana, rudi tangu nimejiunga JF miaka na miaka nipo hivyo.

Wewe endelea na sober zako hapo
 
Mkuu naona hii ni topic yako ya pili sasa baada ya ile huoi mwanamke asiye bikra, nyuma ya pazia kuna mengine au ni haya tuu unayoandika humu!
Mnaooa bikira ni bikira ukeni, marinda yanapwaya. Bado nj bikira hao. Oeni tu. Mimi nishaoa single mother, nimeonja sumu acha iniue.

Nasisitiza USINIPANGIE, naamua mwenyewe.kwa maana hao bikira mkishawaweka ndani hata houseboys wanakula na kulipwa kwa kazi ya kumt...ba mkeo tu. Hata sisi wazee tunagonga vilevile.

Tabia ndo kila kitu, awe single mama au bikira, tukutane kwenye amani ya ndoa na maendeleo ya familia fullstop.

Endelea kusaka bikira wasio na marinda.
 
100%
 
Furaha inaletwa kwa kumcha Mungu,
Kama wanawake wangemcha Mungu kwa kutokutoa bikra zao, mada hii wangeifurahia, lakini kwa vile waliasi na kuziendekeza tamaa zao wakidanganywa na wanaume, mada hii haiwezi kuwapa furaha zaidi ya karaha.

Kujipa furaha kwenye mada kama hii wakati inakusonda ni kujifariji na kujiongopea tuu
Mkuu ..kama ungemcha Mungu KWELI Kama unavyodai unamcha Mungu...Basi usingekuwa na Maneno Mengi..

Ila kwa kuwa tunamcha Mungu kwa kuchagua Yale yanatufaa na kuacha mengine...
.Ila kumcha Mungu Kuna mhumble Sana mja..
.hatukatai kukemea mabaya na hakuna anasema Bikra Ni mbaya. Nop
 
Back
Top Bottom