Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sio kila aliyejiharibu alijiharibia kwa kupenda, sasa na wewe unapozidisha uharibifu eti tu kwa sababu wao walishajiharibia basi mjomba Karma yupo. Atakulipa tu kwa namna yake

Mimi nipo tayari kwa karma, ninapenda haki na ndio maana nikasema, mke wangu akinikuta nachepuka haki yangu ni kuachwa na sio kusamehewa. Halikadhalika na yeye.

Hivyo hayo ya kulala na wanawake walioharibiwa nitalipwa ndio lakini hakuna atakayesema nilimharibu
 
Unalaumu sana wanawake as if uwa wajinyandua wenyewe!! Both Me na Ke wakiacha uharibifu na kuwa wakweli basi vizazi vijavyo vitakuwa salama.
 
Utakuwa na tatizo la akili hujijui unahitaji tiba, daily bikra, single mother I think you need healing in ur heart mi mada kumi kumi na yote hyo unaanzisha kujifariji na ujiponye nafsi yako . Hongera kwa kutoa sumu moyoni na hivi twatumia fake I'd
 
Naungana nawe kwenye maombi, tufunge tatu kavu mwali maana bikra ishakua inshuuu
 

Endelea kujifariji

Ila waliooa wanakuangalia humu
 
Utakuwa na tatizo la akili hujijui unahitaji tiba, daily bikra, single mother I think you need healing in ur heart mi mada kumi kumi na yote hyo unaanzisha kujifariji na ujiponye nafsi yako . Hongera kwa kutoa sumu moyoni na hivi twatumia fake I'd

Utatumia lugha zote lakini ukweli umeupata na kama hukuolewa na bikra basi ndivyo hivyo ulivyo
 

Utatapa tapa hapa mpaka ukome, kama hukufunzwa na mama yako acha dunia ikufunze. Aliyeumbia utolewe bikra ni nani, Haya ndio madhara sasa
 
Ubaya ni kwamba, idadi kubwa ya wanawake wanatolewa bikra zao katika umri mdogo kabisa (15yrs-18yrs). Ni umri ambao wanakuwa bado hawajui kipi ni kipi wala nini ni nini. Ila baadhi yao wanapofika umri wa kujitambua wanaamua kujiheshimu na kutulia ingawa walishapoteza usichana wao accidentary. Kwa hiyo bado mimi naona katika suala la kuoa, kuna vigezo vingine vinavyoweza kuangaliwa. Bikra isiwe kigezo kikuu na cha mwisho katika muktadha huo.
 

Yaah na ndio maana nikasema mbugani wapo Fisi na simba,
Inategemea mwanaume anatumia attitude ya simba au ya Fisi.

Kila la kheri
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...nimesema ishi utakavyo...na Kama kukisifia jisifie.. kwani unahaki zote..

Tena ungeanzisha kanisa ili ujisifu viZuri ...na watu wajifunze uwe Kiigizo chema

Kanisa ni hili hapa JF
 
Mkuu bikra zipo nyingi mno
shida yangu siyo bikra tu nmependa jinsi ulivyoelezea hulka ya mwandani wako ukamsifia mamaye kwa matunzo bora

huenda huyu mama akawa na binti mwingi nna hakika asilimia moja alimfunda tabia njema kam dada yake
 
Tatizo lako unaongea ongea tu as if huujui uhalisia.
 

Hakuna ubaya hapo, sheria zipo wazi, umri huo watuhumiwa wangepaswa kufungwa miaka 30 lakini vitoto vyenyewe vinapenda na hata vikipewa mimba vinamficha mhalifu kwa nini usielewa hoja yangu kwa mantiki hiyo?

Bikra ni kigezo cha kwanza kwa mwanaume anayejielewa.

Ukienda dukani kuchukua bidhaa lazima uhakiki kama ni mpya au laa, Labda waliozoea mitumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…