Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kama ulivyoahinisha kwenye hoja na 5,
Tatizo la utoaji mimba kwa sasa hivi ni kubwa mno, ukijaribu kufuatilia kwa juu juu tuu, ni wazi kuwa huu ni zaidi ya ugonjwa kwa jamii ya sasa. Na hii ni kutokana na ugumu wa maisha kila kukicha, Tumekuwa tukiwanyooshea wanawake vidole vya lawama, lakini kiukweli hawa watu wanapitia kipindi kigumu sana katika hii dunia ya tatu. So, ni vyema kuwaelimisha, kuwaombea na kuwatia moyo wa faraja badala ya kuwasuta na kuwakebehi.
Kwahiyo namna pekee ya kukabiliana na maisha magumu kwa mtoto wa kike ni kutoa uchi wake? Hiyo ndo njia ambayo unaona hawapaswi kulaumiwa wakiwa sio mabikra? Hivyo ndo namna akili yako inataka kumsaidia mtoto wa kike?
 
Acha kujifariji. Ukweli ni kwamba bikra ni alama ya utakatifu na usafi katika ndoa. Mwanamke asiye bikra ni mchafu

Ni kawaida kwa waovu kupinga wema Mkuu
Na wema kupinga ubaya hivyo usishangae humu huu mtifuano
 
Mie huwa nauliza hivi hawa watu huwa wanatolewa bikra na akina nani,kila unae kutana nae hola,wengine wanadanganya wanayo ukijaribu unakuta bwawa na maji yake yamejaa.

Wanaume hao,
Shida wanawake hupenda kuficha wahalifu na haya ndio madhara yake
 
@ jokajeusi. Mkuu mwamba wa kale, kamanda, mtetezi wa wana, nakuelewa sana kamanda . Hii siri ni kubwa sana

Alafu kuna vijana wananiona mjinga

Hawaoni wanaume wakiteseka na hawa wanawake mshenzi,
Kijana anatafuta pesa kwa shida usiku na mchana ili amlishe malaya aliyemfanya kuwa mke akidhani atabadilika alafu wanawake wanazingua, pumbavuu, wataonja joto ya jiwe

Uwe wewe mwanaume mpumbavu na huyo malaya wako.

Mkuu tupo pamoja
 
Back
Top Bottom