Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujishangai upo mwenyewe unaetetea wasio na bikra. Hata wanaume waliooa wasio na bikra hawapo upande wako. Huoni Mkuu.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama. Wewe bado kujitetea ulipojikwaa. Haaaa! Unatia huruma sana

ningekua natia huruma ungenignore,sipo hapa kupata support ya mtu yeyote na ninaongea ninayosimamia,sibishani for the sake ya kubishana,nimewaambia angalieni mazingira yaliyowazunguka with an open mind mtajifunza mengi,eti unamkagua mtoto bikira….aisee sijui naongea na watu wa namna gani humu..sad
 


Siwezi kukuignore mtoto mzuri km wewe, haijalishi ulipoteza bikra enzi za Ujima
 
Na pia anafungua njia yake kwa saizi ya dushe Lake
Hii ni katika faida kubwa ya bikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.

Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.

Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.

Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.

Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.

Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.

Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…