Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nyinyi huwa hamjali sana kuhusu kama mumeo alikuwa ana mahusiano na wanawake huko nyuma ila kwetu sisi ni kitu kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

sema BAADHI yenu ndio kitu kikubwa, wanaume wengi tu hawaangalii bikira ukizingatia na yeye kabla ya kuoa alikua na mahusiano kibao...kwanza akikukuta na bikira wakati wa kuoa anaweza kudhania umeipandikiza/fake

mwenzako kasema sijui fahari, heshima, uaminifu...je wewe unaamini hakuna watu wanaoexperience hivi vitu japokua wamekutana hawana bikira?

ukinijibu usitumie bible please,hili sio jukwaa la dini..ningependa u observe mwenyewe watu wanaokuzunguka, mahusiano yao halafu unijibu
 
Mkuu, nazani neno "kukagua" linakupa ukakasi kidogo. haimaanishi kuwa unawapanga binti na kuwainamisha ili uchungulie. kukagua ni kufuatilia maisha yao kwa karibu na kujitahidi kuwalinda na mafataki. Pia kuwaweka karibu na Mungu kupitia dini japo naona unaziponda!! Hii inasaidia husikatae japo pia ni kweli haimalizi tatizo moja kwa moja. vitoto vinashinda huko shuleni vinafanyiana mambo ya hovyo vikirudi nyumbani vinaimba sala na mapambio utazani malaika. Mzazi unajisifu kama watoto ndio hawa kumbe wapi.

mmnhhh mkuu soma tena hii topic,mwenzio alimaanisha 'kukagua' tena aka cite kwenye maandiko,kama ni guidance mbona karibu kila mzazi anatoa pasipo 'kukagua'
 
sema BAADHI yenu ndio kitu kikubwa,wanaume wengi tu hawaangalii bikira ukizingatia na yeye kabla ya kuoa alikua na mahusiano kibao...kwanza akikukuta na bikira wakati wa kuoa anaweza kudhania umeipandikiza/fake....mwenzako kasema sijui fahari,heshima,uaminifu...je wewe unaamini hakuna watu wanaoexperience hivi vitu japokua wamekutana hawana bikira???ukinijibu usitumie bible please,hili sio jukwaa la dini..ningependa u observe mwenyewe watu wanaokuzunguka,mahusiano yao halafu unijibu
You're absolutely wrong!!!! Kwa common sense ya kawaida huwezi kulinganisha thamani ya mwanamke bikra na mwanamke aliyetoka na mabwana 20,mwanamke aliyejitunza ana thamani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're absolutely wrong!!!! Kwa common sense ya kawaida huwezi kulinganisha thamani ya mwanamke bikra na mwanamke aliyetoka na mabwana 20,mwanamke aliyejitunza ana thamani yake

Sent using Jamii Forums mobile app

mmmmnhhhhh mwanamke ni mwanamke..hujaona huyo aliyetembea na wanaume 20 anaolewa,huyo mwenye bikira anaachwa???…by the way,umeangalia mahusiano yaliyokuzunguka yakoje km nilivyokuambia kwenye hio post hapo juu?
 
Kuolewa sio issue wanawake wengi tu wasio bikra wanaolewa lakini mwanamke aliyejitunza ana heshima yake tuongee ukweli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuolewa ni ishu,ndio kipengele cha mwisho cha mahusiano,kama unaona ndoa sio ishu basi na bikira sio ishu...

Hiyo ni kutokana tu na mfumo wa malezi yaliyopo, kuna jamii za watu wapo serious katika kuhakikisha mabinti wanajitunza, ila kwa Mimi kwa kweli siwezi kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra, never ever in my life
 
Hiyo ni kutokana tu na mfumo wa malezi yaliyopo,kuna jamii za watu wapo serious katika kuhakikisha mabinti wanajitunza,ila kwa Mimi kwa kweli siwezi kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra, never ever in my life

huu mfumo uliopo ndio uliokuwapo,kama bikira ingekua na thamani tungekua adapted na huo mfumo wa kutunza bikira ,kizazi baada ya kizazi,kinge emphasize kutunza bikira na bikira zingekuwepo bwelele lol …..

…mahari ni zawadi especially kwa mama kwa kukuletea mke,sio hela ya kununua bikira,omba upate mtu mnayeelewana sio mwenye bikira sababu bikira hai predict future behaviours.....Swaziland wana utamaduni wa kutunza bikira lakini ndio nchi inayoongoza kwa ukimwi,

lastly;una miaka mingapi?ushawahi kuwa na mahusiano?lol
 
Kwani wewe umerithi tamaduni zote za babu na bibi zako? Mazingira ya sasa si sawa na miaka hiyo,ila utamaduni wa mwanamke kujitunza ulikuwepo
 
Labda hatujaelewana,Mimi nazungimzia kwamba mwanamke anayejitunza huwezi ukamlinganisha na asiyejitunza,sizungumzii future ya ndoa,mbona ndoa zinavunjika kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe umerithi tamaduni zote za babu na bibi zako? Mazingira ya sasa si sawa na miaka hiyo,ila utamaduni wa mwanamke kujitunza ulikuwepo

mmmnh kwa hio jamii iko selective tamaduni gani ziendelee na zipi zisiendelee??imekuwaje kama utamaduni wa kutunza bikira upo kwa muda wa sasa bado bikira imekua adimu?...sijui km hata tunaelewana
 
huu mfumo uliopo ndio uliokuwapo,kama bikira ingekua na thamani tungekua adapted na huo mfumo wa kutunza bikira ,kizazi baada ya kizazi,kinge emphasize kutunza bikira na bikira zingekuwepo bwelele lol …..

…mahari ni zawadi especially kwa mama kwa kukuletea mke,sio hela ya kununua bikira,omba upate mtu mnayeelewana sio mwenye bikira sababu bikira hai predict future behaviours.....Swaziland wana utamaduni wa kutunza bikira lakini ndio nchi inayoongoza kwa ukimwi,

lastly;una miaka mingapi?ushawahi kuwa na mahusiano?lol

Mbona povu dada...
Ulitolewa bikra by child molestation nini ndo mana unaona bikra haina thamani?

Pole sana.
These days, bikra matters! Very rare to break, and i can attest, I was lucky to break many of them rare available!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom