Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mtume Muhamad unajua historia yake?
Kwa ufupi ni kuwa Mtume Muhamad (S.A.W) alioa kabla hajapewa utume. Huoni tofauti hapo?
Tafuta Shekhe mzuri akuelezee umuhimu wa bikra kwa mwanamke katika ndoa.

Pia athari karibia zote katika ndoa chanzo chake ni kutokuolewa bikra kama ulikuwa hujui. Huwezi kuelewa kama hauna elimu ya dini.

well said mkuu. Mungu alikuwa na maana yake kubwa kumwekea mtu mke bikra. Mtume kama ilivo kwa baadhi yetu kuoa used women ni dhambi tu tunamkosea Mungu wetu lakini haiwezi hata siku moja kuwa sababu ya kupinga matakwa na/au uhumbaji wa Mungu.
 
Wanaume tunashangaza tunaowatoa wanawake bikra kabla ya ndoa ni sisi, tunaolalamika bikra zimeadimika ni sisi kweli mtoto wakike kaumbiwa lawama poleni dadazangu mtuvumilie tu.
Kwani wanabakwa? Kama wanasanua wenyewe pole yako unapoteza ya nini?

Kimsingi mwanamke ndiye mwenye mamlaka na mwili wake na siku moja ambayo haipo wanawake wote wakihamua kugoma kutoa pussy zao mpaka wameolewa hii dunia itakuwa sehemu salama kabisa ya kuishi na kuanzia siku hiyo wanaume rijali wote watajipanga sawasawa ili waoe na pia kila mwanamke aliye bikra ataolewa na bikra yake.
 
Mleta mada umekosea sana kusema kuoa mwanamke asiye bikra ni chanzo cha migogoro katika familia. Maana bikra ni hali ya kibaiolojia na haina mahusiano na mapenzi ya dhati kwa mtoa bikra. Dunia ina mengi ya kufikirisha kichwa kuliko bikra ambayo ni maumbile tu ya kibailojia.

Ustawi wa ndoa na mahusiano misingi yake mikubwa ni mapenzi ya dhati ambayo chanzo chake sio bikra ila ni hisia za ndani kabisa za mtu zitokazo moyoni na zinazochochewa na fikra katika ubongo wa binadamu. Mapenzi yanazaa mengineyo kama uvumilivu, kuchukuliana madhaifu, kusamehana na kuwa na imani na mwenzi wako. [/FONT][/SIZE]

Bikra haina athari yoyote katika kudumisha mapenzi ambayo mazingira yake yametawaliwa na mengi unayoyajua na usio yajua mleta mada.

Hacha uongo mkuu hata kama hatusemi moja kwa moja kwamba chanzo cha mgogoro fulani ni kutokuta bikra - kutokuta bikra ni chanzo mfano cha kumchukulia hovyo mke japo simwambii. Kuna vitu hata akifanya ili kukufurahisha hisia zinakimbilia negative mf. akilamba koni swali linalokuja kichwani ni je alivyonza ngapi kabla yangu? mwisho wa siku unaweza ona kinyaa hata kum-chumu kwa kifaransa!

Yote hayo ni kwa sababu hukumkuta bikra sasa wewe huoni kama hayo yaweza kuwa chanzo kikubwa cha migogoro?
 
Hacha uongo mkuu hata kama hatusemi moja kwa moja kwamba chanzo cha mgogoro fulani ni kutokuta bikra - kutokuta bikra ni chanzo mfano cha kumchukulia hovyo mke japo simwambii. Kuna vitu hata akifanya ili kukufurahisha hisia zinakimbilia negative mf. akilamba koni swali linalokuja kichwani ni je alivyonza ngapi kabla yangu? mwisho wa siku unaweza ona kinyaa hata kum-chumu kwa kifaransa!! Yote hayo ni kwa sababu hukumkuta bikra sasa wewe huoni kama hayo yaweza kuwa chanzo kikubwa cha migogoro?

Kwa hiyo ukioa mwanamke bikra ndio mizengwe ndani ya nyumba haitakuwepo? Wanaume tuache fikra potofu, mke ni mke mkuu
 
yaani nimepata picha utakua mzazi wa aina gani nimekosa jibu,ningependa kukuuliza tu je na wewe ni 'baraka' kwa wazazi wako...najua umejua ninamaanisha nini….

mnhhh kuitoa bikra ni saa yoyote akikutana na fataki huko nje,hujanijibu ukiikuta haipo utafanya nini?

Mkuu, nazani neno "kukagua" linakupa ukakasi kidogo. haimaanishi kuwa unawapanga binti na kuwainamisha ili uchungulie. kukagua ni kufuatilia maisha yao kwa karibu na kujitahidi kuwalinda na mafataki. Pia kuwaweka karibu na Mungu kupitia dini japo naona unaziponda!!

Hii inasaidia husikatae japo pia ni kweli haimalizi tatizo moja kwa moja. vitoto vinashinda huko shuleni vinafanyiana mambo ya hovyo vikirudi nyumbani vinaimba sala na mapambio utazani malaika.

Mzazi unajisifu kama watoto ndio hawa kumbe wapi.
 
Kwani wanabakwa? Kama wanasanua wenyewe pole yako unapoteza ya nini? Kimsingi mwanamke ndiye mwenye mamlaka na mwili wake na siku moja ambayo haipo wanawake wote wakihamua kugoma kutoa pussy zao mpaka wameolewa hii dunia itakuwa sehemu salama kabisa ya kuishi na kuanzia siku hiyo wanaume rijali wote watajipanga sawasawa ili waoe na pia kila mwanamke aliye bikra ataolewa na bikra yake.
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mkuu kama kuna path uliifuata ,sio lazima kila mtu aifuate. Umesema bikra ni baraka, kuna cases ngapi za waliooana mabikira wakawa na mabaraka ???? huoni kama hili jambo lingekua na 'mibaraka' na ni zuri kwa jamii..huoni lingekua adapted, wengi wangetunza bikira zao na kupata hio 'mibaraka'...????……..wala usingekua na muda wa ku preach humu...the fact that bikira is irrelevant in this world...kupreach about it ni wastage of time.....Mungu Certainly anataka uwafundishe wanao upendo na kujitunza...ila hii psychologically harming your children kuwakagua hii ni ya kwako na shetani wako..ashindweee lol

Kesi za wenye bikra ni chache ukilinganisha na za upande wa pili. Huna unachokisema. Nilitegemea utatoa reference kutoka katika kitabu chochote iwe Quran au Biblia lakini yote ni mawazo yako. Biblia inasema
Mwanzo 6
5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.

12 Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.

Mawazo yako hayatokani na neno la Mungu, Kama yangetokana na Mungu usingepinga lolote hapa. Na kama ungepinga ungetumia reference kutoka katika Vitabu vya dini.
 
Asante,kama mama hapa duniani ni kumpa guidance mwanangu juu ya kuishi dunia hii..haya ya kukaguana nawaachia nyie washika dini...nishasema hapo juu watu wanafanya mambo mengi kwa kisingizio cha dini,hivyo siwashangai

Hata wewe Upo kwa kigezo cha dini. Umekosa elimu muhimu kwa maisha yako.
 
Kesi za wenye bikra ni chache ukilinganisha na za upande wa pili. Huna unachokisema. Nilitegemea utatoa reference kutoka katika kitabu chochote iwe Quran au Biblia lakini yote ni mawazo yako. Biblia inasema
Mwanzo 6
5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.

12 Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.

Mawazo yako hayatokani na neno la Mungu, Kama yangetokana na Mungu usingepinga lolote hapa. Na kama ungepinga ungetumia reference kutoka katika Vitabu vya dini.

mmnh naona unazungunguka mbuyu,nimekuambia bikira zingekua na 'mibaraka' zingetunzwa..mbona hii iko clear huitaji kufanya reference anaywhere...its more likely kitu kikiwa of value kitapita generation to generation...sasa kwa nini bikira haitunzwi kizazi baada ya kizazi.?

mibaraka ni observable wala sio kitu cha kujificha,ndio maana nikakuuliza hio mibaraka ni ipi? tuanze kuitazama?

hiyo ya Mungu no coment nisije nikachefua watu hapa bure
 
mmnh naona unazungunguka mbuyu,nimekuambia bikira zingekua na 'mibaraka' zingetunzwa..mbona hii iko clear huitaji kufanya reference anaywhere...its more likely kitu kikiwa of value kitapita generation to generation...sasa kwa nini bikira haitunzwi kizazi baada ya kizazi.?..mibaraka ni observable wala sio kitu cha kujificha,ndio maana nikakuuliza hio mibaraka ni ipi? tuanze kuitazama?…………hiyo ya Mungu no coment nisije nikachefua watu hapa bure

Mkuu wewe ndio huelewi. hata sigara inaameandikwa ni hatari kwa afya yako lakini watu wanavuta. Pombe unaambiwa ni mbaya lakini watu wanakunywa.

Uelewa wako ni mdogo sana. Kuna kitu value kama kumcha Mungu. Mbona watu wengi hatumchi Mungu. Mbona watu tunafanya dhambi tukijua wazi kuna moto wa jehanam.

Nilichogundua si kosa lako bali la wazazi wako, na kama hukulelewa na Wazazi wako basi hakuna wakulaumiwa
 
mnhh umetoka kuwa objective mpaka kunishambulia as a person sijui huo umcha Mungu wako ni upi??bikira ina baraka gani?

unaweza kusema baraka hii imetokana na mke wangu kuwa bikira? kwa nini watu wanazitoa kiholela kama ni that important?

tatizo lenu walokole mnaonaga mko right hata kwenye mambo ya kipuuzi…..so long as hauko specific ni baraka gani mtu anazipata kupitia bikira then mjadala wako hauna maana.....
 
mnhh umetoka kuwa objective mpaka kunishambulia as a person sijui huo umcha Mungu wako ni upi??bikira ina baraka gani??unaweza kusema baraka hii imetokana na mke wangu kuwa bikira??? kwa nini watu wanazitoa kiholela kama ni that important???tatizo lenu walokole mnaonaga mko right hata kwenye mambo ya kipuuzi…..so long as hauko specific ni baraka gani mtu anazipata kupitia bikira then mjadala wako hauna maana.....

Baraka zitokanazo na bikra:
1. Heshima
Mwanamke aliyeolewa bikra hupata baraka hii yeye na wazazi wake. Huheshimiwa hata na watoto wake wakisikia Mama yao aliolewa akiwa kigoli.

2. Uaminifu
Mwanamke bikra huaminiwa na mume wake kutokana na kujitunza kwake. Bikra huondoa wasi wasi kwa mwanaume.

3. Fahari.
Mwanaume hujisikia fahari hasa ajuapo yeye ndiye mwanaume wa kwanza kwa mkewe.

4. Furaha
Mwanaume hujisikia raha kuwa na mwanamke aliyemtoa bikra tofauti na kuwa na kidampa. Huwezi Linganisha Furaha ya mwanaume aliyeoa bikra na yule asiyeoa.

5. Kutoshana kimaumbile ya siri
Uume na Uke vitatoshana hii itaondoa vibamia na mabwawa
 
mmmmnhhh haya mkuu wewe hizo kama ndio baraka mbona watu wengi wana mahusiano yana hizo 'baraka' na hawakukutana mabikira???umemention vitu common kwenye mahusiano …..nothing special

Furaha;hii inatokana na chemistry ya wapendanao..uki click na mtu utakuwa na furaha wakati wote sio ubikira....

Uaminifu;si kweli ukioa bikira ndio atakua muaminifu,usifanye majukumu yako kama mume uone kama hatacheat?? mabikira sio masuper human being ni wanawake kama walivyo wanawake wengine..usipofanya hili,atafanya lile..

Fahari; ni pale mume anapoona mke wake ana heshima,mpole ,msikivu. sio kwake tu bali na marafiki zake na ndugu zake..na sio kuwa bikira...

Heshima;bikira ni kitendo cha mara moja na hakihusiani na tabia,WOTE wanawake wenye tabia nzuri au mbaya waliwahi kua na bikira at some point in their life....so nothing special wengine sio kujitunza bali kukosa mtu wa kumtoa mpaka umri anaolewa...LOLS...……..

kutoshana maumbile si kweli,hii ni maumbile mtu alizaliwa nayo na haihusiani na bikira mkuu..kusex hakumfanyi mtu kuwa bwawa

***kama hujawahi kusex nje ya ndoa ulivyokua kijana una haki ya kuanzisha thread kama hii,ila kama umetandua bikira za watu tulia tuu LOLS....

.
 
Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
😀😀
 
mmmmnhhh haya mkuu wewe hizo kama ndio baraka mbona watu wengi wana mahusiano yana hizo 'baraka' na hawakukutana mabikira???umemention vitu common kwenye mahusiano …..nothing special

Furaha;hii inatokana na chemistry ya wapendanao..uki click na mtu utakuwa na furaha wakati wote sio ubikira....

Uaminifu;si kweli ukioa bikira ndio atakua muaminifu,usifanye majukumu yako kama mume uone kama hatacheat?? mabikira sio masuper human being ni wanawake kama walivyo wanawake wengine..usipofanya hili,atafanya lile..

Fahari; ni pale mume anapoona mke wake ana heshima,mpole ,msikivu. sio kwake tu bali na marafiki zake na ndugu zake..na sio kuwa bikira...

Heshima;bikira ni kitendo cha mara moja na hakihusiani na tabia,WOTE wanawake wenye tabia nzuri au mbaya waliwahi kua na bikira at some point in their life....so nothing special wengine sio kujitunza bali kukosa mtu wa kumtoa mpaka umri anaolewa...LOLS...……..

kutoshana maumbile si kweli,hii ni maumbile mtu alizaliwa nayo na haihusiani na bikira mkuu..kusex hakumfanyi mtu kuwa bwawa

***kama hujawahi kusex nje ya ndoa ulivyokua kijana una haki ya kuanzisha thread kama hii,ila kama umetandua bikira za watu tulia tuu LOLS....

.

Na wasi wasi na elimu yako Mkuu. Endelea kujifariji hapo ila fahamu hata ukiolewa kama huna bikra ujue mmeo hakuamini, hakuheshimu kivile. Yaani mtakuwa mpo mpo tuu
 
Back
Top Bottom