Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hilo litafanyika likitokea kwa sasa siwezi sema nitafanya nini. Mimi Ni Baba, kama nimesimamia kwamba Mke wangu nimuoe akiwa bikra na ikawa. Siwezi shindwa kuwaoza wanangu wakiwa mabikira. Mungu atanisadia coz ninafanya lililo jema
hahaha naona umelikwepa..wewe nawe ni 'baraka' kwa wazazi wako??lol
sasa tuambie kutokana na experience yako,labda tuna ya kujifunza...
Umeshampata bikira unayemtafuta umuoe,lol
Ana miaka mingapi?
usifanye wakaka wa watu humu wakafuata maelezo yako..
wakaendelea kuota kuoa mabikira...
kumbe mtu mwenyewe anaongea mambo ya nadharia tu...