Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwanaume ni kiumbe msumbufu sanaNa sisi ndio tuliambiwa tusitamani wake za jirani zetu. hahaha
Ungeonyesha masikitiko tu kwamba hukuitendea haki jinsi ilivyotoka, ndiyo uungwana kuliko jinsi ulivyolalamika.kila mtu alishawahi kuwa bikira hizo baraka sijui ni zipi? je wanaume wote wanaochepuka hawakuoa mwanamke bikra??
Mkuu unawapa moyo wakengeufu!!Saa nyingine bidhaa za mtumba zina ubora kuliko mpya
Sent from my SM-G610F using Tapatalk
Mh. Watoto wa siku hizi watatunza za mbele wata tatua za nyuma aseeeeNdio hivyo Dadaangu, kama wewe ulikosea jitahidi kwa wanao. Kwani unashindwa kumwambia mtoto wako wa kike kila baada ya muda fulani nitakuwa nakukagua kama umeanza mchezo mbaya au laa. Wazazi wanachakujibu kuhusu hizi ishu.
Embu fikiria Lutu ni mzazi wa kiume lakini anauhakika kabisa mabinti zake wako sildi. je wewe utashindwa?
Mleta mada umekosea sana kusema kuoa mwanamke asiye bikra ni chanzo cha migogoro katika familia. Maana bikra ni hali ya kibaiolojia na haina mahusiano na mapenzi ya dhati kwa mtoa bikra. Dunia ina mengi ya kufikirisha kichwa kuliko bikra ambayo ni maumbile tu ya kibailojia.
Ungeonyesha masikitiko tu kwamba hukuitendea haki jinsi ilivyotoka, ndiyo uungwana kuliko jinsi ulivyolalamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kasome tena mada, maana naona kama unapishana na maudhui. Tatizo jiwe likikupata gizani........!!bikira kwa wanawake ndio ina baraka,wanaume je bikra zao hazileti baraka au kudumisha mahusiano???
waliooa wanawake bikira hajawahi kuchepuka?
Usijilaani mkuu, utaishia kutokuoa bure.Binafsi siwezi kabisa kutoa mahari kwa mwanamke asiye bikra,never ever in my life
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh. Watoto wa siku hizi watatunza za mbele wata tatua za nyuma aseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Simpi moyo mtu, naongea ukweli.. Saa nyingine bidhaa za mtumba 'original' ni bora kuliko mpya 'nyingi feki'
Rudi kasome tena mada, maana naona kama unapishana na maudhui. Tatizo jiwe likikupata gizani........!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada umekosea sana kusema kuoa mwanamke asiye bikra ni chanzo cha migogoro katika familia. Maana bikra ni hali ya kibaiolojia na haina mahusiano na mapenzi ya dhati kwa mtoa bikra. Dunia ina mengi ya kufikirisha kichwa kuliko bikra ambayo ni maumbile tu ya kibailojia.
Ustawi wa ndoa na mahusiano misingi yake mikubwa ni mapenzi ya dhati ambayo chanzo chake sio bikra ila ni hisia za ndani kabisa za mtu zitokazo moyoni na zinazochochewa na fikra katika ubongo wa binadamu. Mapenzi yanazaa mengineyo kama uvumilivu, kuchukuliana madhaifu, kusamehana na kuwa na imani na mwenzi wako.
Bikra haina athari yoyote katika kudumisha mapenzi ambayo mazingira yake yametawaliwa na mengi unayoyajua na usio yajua mleta mada.
Nadhani haya ndiyo maneno au nasaha zinazomfaa Rebeka 83. Naamini kuanzia hapa ataelewa. Naona alihisi kuwa ni uzi wa kuwashambulia wanawake. Nimependa ufafanuzi wako mkuu. Ubarikiwe.Mkuu usidhani nipo hapa kuwalaumu au kuwatukana wanawake. Mwanamke anapaswa kuwa na msimamo na kujitunza kimwili. hii ni moja ya sifa ya mwanamke. Mwanamke hujaribiwa na wanaume kupima msimamo wake na namna alivyo na tabia njema. ndio maana bikra ikawekwa kwake. Endapo hataitunza tafsiri yake si muaminifu.
Si watetei wanaume bali kila mmoja atahukumiwa kwa namna yake na sheria zinazomhusu.
Ushauri: kama wewe ni mama Bora, mwanamke mwema hakikisha unawatunza wanao na kuwakagua kila mara huku ukiwafundisha neno la Mungu uone kama kuna mwanaume atagusa papuchi za wanao.
Daaaaaah, kwenye ukweli uongo hujitenga aseee.Samahani mleta mada wewe ni peter wa muna maana issue za kugombania watoto ziko nyingi ila wewe umekomaa na hii ya patrick-muna-peter? Mbali na hilo hii mada yako ni nzuri na ina ujumbe mzuri unaofikirisha. Kuna mda hata mimi ujikuta namchukia mwanamke wangu ninapokumbuka nilivo mkuta hana bikra. Na imani yangu ni hiyo hiyo uliyoielezea ya kuwa wanaume wote tuliochukua wanawake wasio na bikra tunaishi na wake za waume wenzetu.
Ndoa ni agano inafungwa pale tu mtu mme anapolala na mtu mke aliye na bikra. Wengine mahusiano yetu yako kijamii zaidi ili mradi tulienda makanisani/misikitini/bomani haimanishi kuwa tumefunga ndoa kiimani. Huko tunaenda tu ili kupata uhalali wa kuishi kwenye jamii pasipo kusumbuliwa ila kwa Mungu mwanaume halali wa ndoa ni yule aliyetoa bikra ya mwanamke husika - hao ndio wanafunga lile agano halisi la ndoa. Mengine tunayofanya ya kupelekana makanisani nk ni utaratibu tu wa hapa duniani ili jamii iweze kuwa tulivu kidogo.
Nadhani haya ndiyo maneno au nasaha zinazomfaa Rebeka 83. Naamini kuanzia hapa ataelewa. Naona alihisi kuwa ni uzi wa kuwashambulia wanawake. Nimependa ufafanuzi wako mkuu. Ubarikiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
nyie mnaodhani bikira inaboresha mahusiano ndio mko naïve...eti jiwe?! kwani mie nitakua wa kwanza au mwisho kuwa na bikira,kiasi ikitolewa niumie?
Mwenye hekima usikia maonyo lakini Mpumbavu hushupaza shingo. Tukubali tumekosea tunapaswa tulinde kizazi kijacho. Hicho ndio cha msingi
mkuu kuwakagua watoto?? ndio unaona nasaha?? wewe ukiwa na wanao utwakagua bikra zao???...mbona mnaongea vitu kama vile mnaishi sayari nyingine wakuu?