Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Sawa. Aliowa kabla ya Utume lakini hakuiwa bikra.Mtume Muhamad unajua historia yake?
Kwa ufupi ni kuwa Mtume Muhamad (S.A.W) alioa kabla hajapewa utume. Huoni tofauti hapo?
Tafuta Shekhe mzuri akuelezee umuhimu wa bikra kwa mwanamke katika ndoa.
Pia athari karibia zote katika ndoa chanzo chake ni kutokuolewa bikra kama ulikuwa hujui. Huwezi kuelewa kama hauna elimu ya dini.
Sent using Jamii Forums mobile app