Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Uzi mzuri kweli tulikose na nyie ndo mliotutoa na hamkutuwowa wametuwowa wengine basi tutawaombea mabinti na watt wetu wa kiume wapate baraka za kuzitunza.


Wewe hata kama hauna bikra naweza kukuoa kwa sabubu umekiri tumekosea hivyo kukosea kwetu isihalalishe uovu kwa Watoto wetu.

Hatuwezi kupigana na zinaa, athari za zinaa kama Ukimwi bila kuijumuisha hoja ya Bikra
 
Ukiangalia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa bikra, hata malaya aliwahi kuwa bikra. Kwahiyo kama bikra ni kitu ambacho kila mwanamke aliwahi kuwa nacho, kinachokuja kutofautisha mke mzuri na mbaya ni mambo mengine kabisa. Ukipata bikra oa, lakini usije kulalamika humu hajui kupika au sijui hapendi ndugu zangu. Mfundishe, ni bikra huyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
acha kujitetea wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini asiwe nayo

Sent using Jamii Forums mobile app


Yeye hayupo kwaajili ya mwanamke mkuu, Bali mwanamke kwaajili ya mwanaume. Mwanaume moja ya mali zake ni pamoja na mke.

Ndio maana hata amri za Mungu zinasema katika biblia:
Kutoka 20:
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.

Aya hiyo inaonyesha kuwa Mwanamke ni mali ya mwanaume hivyo hupaswi kutamani mke asiye wakwako. Hivyo Bikra ni kama kutia chapa au saini au kukata utepe kuashiria ufunguzi kwa mmiliki. Na kuwa kitu ni kipya.
 
Umeongea ukweli ila utapingwa na wale wasiopenda kweli, wapendao dunia kuliko kumpenda Mungu, ubarikiwe sana mtoa mada.


kuna watu walivyomapopoma wanasema hata mama na baba yangu huenda hawakuchukuana hivyo. Hata kama ni wao wamefanya haimaanishi jambo hilo lisisemwe kuwa walikosea. Kosa ni Kosa bila kujali katenda nani.

Ahsante sana Mkuu. Barikiwa na wewe
 
Nukuu

''Ulijuaje mkeo sio mtamu kama hukuwahi onja vya nje."

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hii bikra iliwekwa ina maana yake
Kumbuka kila mwanaume ana size yake ya urefu na upana wake
Sasa tumepewa funguo na kitasa ni kipya kila mtu anapooa anatakiwa afungue kwa saizi yake ndipo panapatikana raha na utulivu
Sasa mfano wewe una mashine inch 6
Na huyo unaemuoa ameshapitiwa na inch 12 upana inch 3 mzunguko
Unategemea utamuweza?
Au utakuwa unaogelea katika kina usichokiweza
Hata kwenye kina cha swimming pool kuna vina vya maji urefu tofauti kila mtu anaogelea kulingana na ujuzi wake
Ukilazimisha ujuzi wa mwenzio utakufa bure
Kila funguo ifungue mlango wake
Ukiingiza kitasa kisicho chako utachokoa tu hutapata kitu

Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe Ni GT mkuu. Ambaye hajakuelewa kaamua tuu kushupaza shingo yake
 
nilikuwa msafi wa mwili nanroho nilipokutana na shemeji yenu.


Kama unaweza kuutunza mwili basi hata roho pia Mungu atakujalia.

Hongera sana Mkuu. Jukumu ulilo nalo ni kuwafunza wanao na kuhakikisha unapata heshima kwa wakwe zako siku ukiozesha.
Kwa kweli si rahisi kumheshimu Mama Mkwe kwa kukutunzia mkeo ipasavyo
 
Kuoa mwanamke bikra kuna raha yake aise maana presha unakua huna kabisa.....

Tofouti na ukioa mwanamke ambae keshavunjwa tayari presha ni muda wote maana unajua fika kabisa muda wowote wakikutana na aliolala nao kuvunjwa tena ni rahisi tu....

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu, hata kumsamehe mwanamke wanamna hii akiteleza ni rahisi sana
 
Bikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hata kumsamehe mwanamke wanamna hii akiteleza ni rahisi sana
Na hata kuteleza ni mara chache sana yaani kwenye mabinti 10 waliolewa bikira inaweza kuwa ni mmoja au asiwepo kabisa anaesaliti....

Ila kwa walioolewa tayari washafungulia ni wanawake 9 out of ten kuna possibility ya kukusaliti au kumi wote....

Kwa ufupi ni kwamba wataendelea kukazwa tena haswa haswa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi litafutwe jina la mwanaume ambae hahawahi ku-sex,mwanamke ni bikira je mwanaume vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app


Hivi bado hujaelewa mkuu. Mwanamke anaruhusa ya kuoa wake wawili lakini mwanamke hana ruhusa hiyo.
Mwanamke ni zawadi kwa mwanaume jamani.

Mwanaume amepewa dunia aitawale, anaweza kuwa na mashamba kumi, ishirini, Unaweza kuwa na mifugo upendayo kulingana na uwezo wa kumiliki na kuvitawala. Hata kwa wanawake pia, unaweza kuwa na mwanamke mmoja, wawili au hata kumi kulingana na uwezo wako. Cha msingi uweze kuwahudumia na kuwatawala.

Kuzini ni kuamua tuu kwani sheria zipo wazi
 
Mkuu usidhani nipo hapa kuwalaumu au kuwatukana wanawake. Mwanamke anapaswa kuwa na msimamo na kujitunza kimwili. hii ni moja ya sifa ya mwanamke. Mwanamke hujaribiwa na wanaume kupima msimamo wake na namna alivyo na tabia njema. ndio maana bikra ikawekwa kwake. Endapo hataitunza tafsiri yake si muaminifu.

Si watetei wanaume bali kila mmoja atahukumiwa kwa namna yake na sheria zinazomhusu.

Ushauri: kama wewe ni mama Bora, mwanamke mwema hakikisha unawatunza wanao na kuwakagua kila mara huku ukiwafundisha neno la Mungu uone kama kuna mwanaume atagusa papuchi za wanao.
[emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419] [emoji419]
 
Bikra nyingi zina usumbufu sana. Nashauri kuzisahau tu maana siku hizi hakuna kabisa.

Hata ardhi bikra ziliisha watu wanaparamia mwezini huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app


Mtume Muhamad unajua historia yake?
Kwa ufupi ni kuwa Mtume Muhamad (S.A.W) alioa kabla hajapewa utume. Huoni tofauti hapo?
Tafuta Shekhe mzuri akuelezee umuhimu wa bikra kwa mwanamke katika ndoa.

Pia athari karibia zote katika ndoa chanzo chake ni kutokuolewa bikra kama ulikuwa hujui. Huwezi kuelewa kama hauna elimu ya dini.
 
Ila kwa kweli mwanamke bikira mimi sioi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom