Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee mkuu umetoa ya moyoni . Dah nikifikiria kuoa ntatafuta bikra hata kama ni mwisho wa nchi hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa zama hizi bikra ni chache sana na hali inaendelea kuwa mbaya zaidi kila kukicha. kama huna bahati itakuwa ngumu kupata mwisho unakubali kuchukua mmoja wa hao wanaopatikana ili maisha ya hapa duniani yaendelee.

kila la kheri.
 
kuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.
Hayo ni MATOKEO YA kuchamba kwingi MWISHOWE kubaki na mavi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.

Hii bikra iliwekwa ina maana yake
Kumbuka kila mwanaume ana size yake ya urefu na upana wake. Sasa tumepewa funguo na kitasa ni kipya kila mtu anapooa anatakiwa afungue kwa saizi yake ndipo panapatikana raha na utulivu.

Sasa mfano wewe una mashine inch 6
Na huyo unaemuoa ameshapitiwa na inch 12 upana inch 3 mzunguko
Unategemea utamuweza? Au utakuwa unaogelea katika kina usichokiweza
Hata kwenye kina cha swimming pool kuna vina vya maji urefu tofauti kila mtu anaogelea kulingana na ujuzi wake
Ukilazimisha ujuzi wa mwenzio utakufa bure.

Kila funguo ifungue mlango wake
Ukiingiza kitasa kisicho chako utachokoa tu hutapata kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa bikra, hata malaya aliwahi kuwa bikra. Kwahiyo kama bikra ni kitu ambacho kila mwanamke aliwahi kuwa nacho, kinachokuja kutofautisha mke mzuri na mbaya ni mambo mengine kabisa.

Ukipata bikra oa, lakini usije kulalamika humu hajui kupika au sijui hapendi ndugu zangu. Mfundishe, ni bikra huyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiangalia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa bikra, hata malaya aliwahi kuwa bikra. Kwahiyo kama bikra ni kitu ambacho kila mwanamke aliwahi kuwa nacho, kinachokuja kutofautisha mke mzuri na mbaya ni mambo mengine kabisa. Ukipata bikra oa, lakini usije kulalamika humu hajui kupika au sijui hapendi ndugu zangu. Mfundishe, ni bikra huyo.


Sent from my iPhone using JamiiForums

Bikra ni bikra tuu Mkuu acha kupuyanga
 
Back
Top Bottom