Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo bikra ina umuhimu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAH KILA NIKILIONA NENO BIKRA ROHO INANIUMA SANA.

KUNA DADA MMOJA NI BIKRA HAPA, NILIPOMRUSHIA VERSE AKAKATAA..KANIAMBIA NIMECHELEWA TAYARI KUNA JAMAA KASHAWEKA ODA YA KUMUOA..

NGOJA NITAFUTE PESA LABDA ATAKUJA MWENYEWE

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaha! "Mbele imo nyuma imetoweka" Nimecheka sana Mkuu.

Hakuna bikra ya nyuma mkuu. Bikra ipo mbele kutokana na huko ndiko kuliko halali.
Tofauti ya hapo ni Uasi tuu.

Bikra humpa heshima mwanamke, familia yake na ukoo kwa ujumla. Ni dalila ya kusema familia ile imetulia.
Amini nakuambia sisi wanaume tuliowengi ni rahisi kuamini na kujivunia kuwa na mwanamke bikra kuliko asiyekuwa nayo.

😅😅😅😅😅😅 haya mkuu
 
DAH KILA NIKILIONA NENO BIKRA ROHO INANIUMA SANA.

KUNA DADA MMOJA NI BIKRA HAPA, NILIPOMRUSHIA VERSE AKAKATAA..KANIAMBIA NIMECHELEWA TAYARI KUNA JAMAA KASHAWEKA ODA YA KUMUOA..

NGOJA NITAFUTE PESA LABDA ATAKUJA MWENYEWE

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahaaa!
 
Takwimu sina lakini zipo(kwa waliofanya utafiti).

Wewe ulidai kuwa bikra zinaleta usumbufu, ni usumbufu gani?

Mwifwa una maswali yana muwasho flani hivi. wee elewa tu bikra ni usumbufu tu ziko mbona zinauzwa mitaani sasa sio usumbufu huo mwifwa wewe nawe
 
Mkuu mleta mada, sioni, sifikirii na sidhani kama kuna mtu ataleta hoja yoyote yenye mashiko au yenye nguvu kupinga ukweli huu.

Wataimba, wataleta mashairi yenye vina, lakini yote ni kutaka kujifariji tu. Kama ilivyo, kwamba kuiba ni dhambi, basi hakuna neno lolote la kutakasa tendo hili. Huu ni ukweli mchungu sana.

Wapo walioleta utetezi eti hakuna mwanamke ambaye hakuwa na bikra, Sawa, walikuwa nazo; je zilitoka katika mazingira ya maandiko yanavyosema? kwamba siyo kwa aibu kwa wazazi wao?

Hapa ndipo ukweli uliposimamia. Otherwise, maneno yoyote kupinga ukweli huu, ni kutaka kuongeza pages za thread tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwifwa una maswali yana muwasho flani hivi. wee elewa tu bikra ni usumbufu tu ziko mbona zinauzwa mitaani sasa sio usumbufu huo mwifwa wewe nawe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa ngoja nielewe tu kuwa bikra ni Usumbufu
 
Mkuu mleta mada, sioni, sifikirii na sidhani kama kuna mtu ataleta hoja yoyote yenye mashiko au yenye nguvu kupinga ukweli huu. Wataimba, wataleta mashairi yenye vina, lakini yote ni kutaka kujifariji tu. Kama ilivyo, kwamba kuiba ni dhambi, basi hakuna neno lolote la kutakasa tendo hili. Huu ni ukweli mchungu sana.
Wapo walioleta utetezi eti hakuna mwanamke ambaye hakuwa na bikra, Sawa, walikuwa nazo; je zilitoka katika mazingira ya maandiko yanavyosema? kwamba siyo kwa aibu kwa wazazi wao? Hapa ndipo ukweli uliposimamia. Otherwise, maneno yoyote kupinga ukweli huu, ni kutaka kuongeza pages za thread tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkuu Ukweli wanaujua sana. Wanachokifanya ni kujifariji au kutetea makosa yao. Nimewaambia kosa ni kosa bila kujali limetendwa na nani. Haijalishi ni Baba, mama yangu au mimi. Kosa litabaki kuwa kosa
 
Back
Top Bottom