Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kwahiyo namna pekee ya kukabiliana na maisha magumu kwa mtoto wa kike ni kutoa uchi wake? Hiyo ndo njia ambayo unaona hawapaswi kulaumiwa wakiwa sio mabikra? Hivyo ndo namna akili yako inataka kumsaidia mtoto wa kike?
 
Nawazoom ambao hawana bikra, na hawajaolewa...nakazia unakuta mwingine hana bikra, mbele, nyuma na hadi ya koo watu wametoa afu, unamfanya mke... ha ha
 
Acha kujifariji. Ukweli ni kwamba bikra ni alama ya utakatifu na usafi katika ndoa. Mwanamke asiye bikra ni mchafu

Ni kawaida kwa waovu kupinga wema Mkuu
Na wema kupinga ubaya hivyo usishangae humu huu mtifuano
 
Mie huwa nauliza hivi hawa watu huwa wanatolewa bikra na akina nani,kila unae kutana nae hola,wengine wanadanganya wanayo ukijaribu unakuta bwawa na maji yake yamejaa.

Wanaume hao,
Shida wanawake hupenda kuficha wahalifu na haya ndio madhara yake
 
@ jokajeusi. Mkuu mwamba wa kale, kamanda, mtetezi wa wana, nakuelewa sana kamanda . Hii siri ni kubwa sana

Alafu kuna vijana wananiona mjinga

Hawaoni wanaume wakiteseka na hawa wanawake mshenzi,
Kijana anatafuta pesa kwa shida usiku na mchana ili amlishe malaya aliyemfanya kuwa mke akidhani atabadilika alafu wanawake wanazingua, pumbavuu, wataonja joto ya jiwe

Uwe wewe mwanaume mpumbavu na huyo malaya wako.

Mkuu tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…